Mnapenda sana propaganda mibongolala. Where I am kuna stima since yesterday. Ilipotea jana for around three hours ikarudi na haijapotea tena, japo kuna baadhi ya maeneo that experienced a 24-hour blackout.Kenya ndio nchi pekee umeme unakatika Nchi nzima kwa siku mbili na hakuna dalili ya kurudi..
Kuna ule mjadala kuhusu Ubora wa Elimu kati ya Tanzania na Kenya pamoja na Idadi na Ubora ya Mainjinia...
Mkenya anayebisha Kenya umeme haukatiki zaidi ya siku 2 anitag
Thika road ni 8lane road with few and short service roads parallel to it, usijaribu kubadili mada kwamba tuonekane tunazitenga hzo short service roadsHaya going by your definition, show us that road running parallel to thika road hapa.
View attachment 2078289


Nairobi-Mombasa highway exists. Bagamoyo port iko wapi?where is nairobi mombasa highway?? ndio hio au kuna nyingine 😂😂😂😂😂
Blackout ni kitu cha kawaida Kenya year in year out, wanasingizia damaged transmission lineMnapenda sana propaganda mibongolala. Where I am kuna stima since yesterday. Ilipotea jana for around three hours ikarudi na haijapotea tena, japo kuna baadhi ya maeneo that experienced a 24-hour blackout.
Secondly, the countrywide blackout was caused by a technical hitch which has since been rectified. Technical hitches happen world over, so sijui hizi povu ni za nini







Huwa wanadhani hatujui tabia zao za "tuko vizuri" kumbe kwa ground ni njaa tupu.Blackout ni kitu cha kawaida Kenya year in year out, wanasingizia damaged transmission lineView attachment 2078533View attachment 2078534



dongo kundu gani ile ya mombasa au kuna nyingine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dongo Kundu is far much better than that Kibaka road.
kwann unaweka picha kwenye makutano ili ionekane ni 8 lanes au unafkiri huo ujanja sisi hatuujui 😂😂😂😂😂😂 nitakuumbua kua makini
Mwaka jana tu hapo umeme ulikatika karibu mwezi mzimaHuwa wanadhani hatujui tabia zao za "tuko vizuri" kumbe kwa ground ni njaa tupu.![]()







Huyo fala ni msenge sn, kuna vitu anafanya anadhani tutakuwa hatuelewi lengo lakekwann unaweka picha kwenye makutano ili ionekane ni 8 lanes au unafkiri huo ujanja sisi hatuujuinitakuumbua kua makini








It's clearly written not "intersecting" or "coinciding". Do you know the meaning of these two words?Kama hujaenda shule co tatizo langu mlaumu babaako.View attachment 2078366
Huo utoto wa "do you know" nishaachana nao kitambo.It's clearly written not "intersecting" or "coinciding". Do you know the meaning of these two words?
Your cry is my happiness🤣🤣🤣kwann unaweka picha kwenye makutano ili ionekane ni 8 lanes au unafkiri huo ujanja sisi hatuujui 😂😂😂😂😂😂 nitakuumbua kua makini
Sema tu hujui na iishe😂😂Huo utoto wa "do you know" nishaachana nao kitambo.
Bongolala, wamesema chanzo ni damaged transmission line. Ni nini huelewi hapo? Or did you forget that Kenya produces and consumes more electricity than your shithole country? Ni nini kinakuuma Kenya ikikosa umeme because of a technical hitch?Blackout ni kitu cha kawaida Kenya year in year out, wanasingizia damaged transmission lineView attachment 2078533View attachment 2078534
Sema tu huelewi kiingereza bongolalaHuo utoto wa "do you know" nishaachana nao kitambo.
Unatiwa na wanga, yani mm degree holder nisijue kingereza alafu wewe form four ujue c maajabu ya Musa hayaSema tu huelewi kiingereza bongolala








Na hiyo degree yako si ulishindwa kujua parallel ni nini😂😂😂😂Unatiwa na wanga, yani mm degree holder nisijue kingereza alafu wewe form four ujue c maajabu ya Musa haya![]()
Nyumba hazipo kwenye mpangilio mzuri, kwa mbali kama zinaleta kinyaa hivi japo co kama kibera, dandora, pipeline, kisumu na maeneo mengine ya Kenya.Sections of Eastlands, Nairobi where the majority of Nairobians liveView attachment 2078506View attachment 2078510View attachment 2078516View attachment 2078517View attachment 2078518View attachment 2078520View attachment 2078519View attachment 2078522