Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi
1641061810741.png
 
Why would anyone compare Chengdu to Chicago?🚮🚮

Chicago has the 9th highest city GDP in the world and all the cities ahead have way more population.
GDP zisizo reflect underground hatuzihitaji sisi, hizo zinakua namba tu za kuandika kwenye karatasi, nimefanya research kuhusu hii miji miwili, niambie wewe ni kitu gani kinaifanya Chicago iwe na GDP kubwa kuliko Chengdu.? ikiwa Chicago inazidiwa karibu kila kitu underground 👇
You have to check out your facts bro.. buildings with 150 metres in china are more than 2669 while US has about 843 buildings, na top Three list ya miji yenye majengo marefu yenye 150m+ in the world :-
1. Hong Kong- 517 buildings
2. Shenzhen- 340 buildings
3. New York- 298 buildings

NB: usisahau kwamba china Iko na 130 cities na pia China sio stagnant kama US...

Owky turudi kwa CHENGDU na CHICAGO, nimefanya research zangu na nikadundua CHENGDU inaiacha mbali sana Chicago kwenye maeneo yafuatayo

1. Subways (hapa ndio hata siwezi linganisha mana US ni vichekesho)

2. Airports (chengdu Old terminus handles about 55m passengers annually, and the new terminus, Chengdu Sichuan international airport is expected to handle more than 100m passengers annually while Chicago O'HARE international airport handles about 30m+ passengers annually)

3. High speed train (hapa napo ni hatari kwakweli, Chengdu beats Chicago hands down)

4. Roads infrastructures (chengdu wins)

5. quality of living (chengdu wins)

6. Innovation (chengdu wins)

7. Peace and security (chengdu wins)

8. Poverty eradication (chengdu wins)

9. Production (chengdu city has a lot of manufacturing companies including car manufacturing company (Volvo) which has annual sales revenue of about 40b+ 2020 report says while the biggest manufacturing company in Chicago (Sciaky, Inc) has about 249.9m sales revenue annually 1/1/2022 report says

10. Science and technology (chengdu wins)

Usisahau CHENGDU ni mji wa sita kwa maendeleo china while Chicago ni mji wa tatu kwa maendeleo China.. and that's why nasemaga US is nothing compared to China likija suala la maendeleo

Kwako wewe sasa unaona Chicago inaizidi chengdu kwenye maeneo yepi.? Uniaminishe mimi kwamba Chicago ni better than chengdu ..nipe facts bro nasubiri
 
GDP zisizo reflect underground hatuzihitaji sisi, hizo zinakua namba tu za kuandika kwenye karatasi, nimefanya research kuhusu hii miji miwili, niambie wewe ni kitu gani kinaifanya Chicago iwe na GDP kubwa kuliko Chengdu.? ikiwa Chicago inazidiwa karibu kila kitu underground 👇
Yani hivi unapima utajiri wa Jiji kwa majengo marefu? Sasa tuseme Dar es Salaam ni Tajiri Kulikov Zurich? 🚮🚮
 
Yani hivi unapima utajiri wa Jiji kwa majengo marefu? Sasa tuseme Dar es Salaam ni Tajiri Kulikov Zurich?
Wacha kuwa mpumbavu, Chengdu imewekwa hapa na videos tumeziona, vitu nilivyoviona co tu maghorofa kuna miundombinu mingi ya ajabu ipo pale which means investment ya kutisha imefanyika ambapo Investment inakuwa calculated kwenye GDP, ss kazi kwako na ww uweke videos au picha za Chicago ili tuamini unachosema.

Alafu nilichogundua ni kwamba Wakenya wengi mmekuwa mazuzu kwa US kiasi kwamba mnawish hata mkaolewe US, mm mwenyewe naipenda US lkn kwa mambo niliyoyaona kwenye video nmeanza kuamini China iko mbali kimaendeleo kama co sambamba na US, kilichobaki ni upuuzi wa GDP kama mnaotuimbia humu kila siku.
 
GDP zisizo reflect underground hatuzihitaji sisi, hizo zinakua namba tu za kuandika kwenye karatasi, nimefanya research kuhusu hii miji miwili, niambie wewe ni kitu gani kinaifanya Chicago iwe na GDP kubwa kuliko Chengdu.? ikiwa Chicago inazidiwa karibu kila kitu underground
Chicago babalao ila unaweza bisha tu
chicago-890347_1280.jpg
iStock-504381960.jpg
 
Leo nimeenda zangu Kibaha kiwandani kwa Mchina Kupiga misosi na kuangalia jinsi ya kupiga hela 2022. Nimegundua tunatengeneza BRT lanes kwa kutengenisha lane mbili za zamani za Morogoro road na hizi sita mpya.

View attachment 2065258

View attachment 2065257

View attachment 2065266

View attachment 2065268

Kuna lane kama zote

View attachment 2065259

View attachment 2065260
View attachment 2065261
View attachment 2065262
View attachment 2065263
View attachment 2065264
Hii rodi ikipigwa mataa it itakua kama mbele
 
Wacha kuwa mpumbavu, Chengdu imewekwa hapa na videos tumeziona, vitu nilivyoviona co tu maghorofa kuna miundombinu mingi ya ajabu ipo pale which means investment ya kutisha imefanyika ambapo Investment inakuwa calculated kwenye GDP, ss kazi kwako na ww uweke videos au picha za Chicago ili tuamini unachosema.

Alafu nilichogundua ni kwamba Wakenya wengi mmekuwa mazuzu kwa US kiasi kwamba mnawish hata mkaolewe US, mm mwenyewe naipenda US lkn kwa mambo niliyoyaona kwenye video nmeanza kuamini China iko mbali kimaendeleo kama co sambamba na US, kilichobaki ni upuuzi wa GDP kama mnaotuimbia humu kila siku.
"Weka picha ya GDP" Me I'm just over these guys
haya..@nairobiwalker peana picha ya GDP, ME I'M DONE 🤣🤣
 
Back
Top Bottom