Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Ni kweliHuwezi kulinganisha Gni au per capital income bila kulinganisha PPP, hiyo $9000 ya Mchina inaweza kuizidi hiyo ya $50000 ya Wamarekani katika nguvu ya kununua bidhaa na huduma.
Ni kweliHuwezi kulinganisha Gni au per capital income bila kulinganisha PPP, hiyo $9000 ya Mchina inaweza kuizidi hiyo ya $50000 ya Wamarekani katika nguvu ya kununua bidhaa na huduma.
Hahaha Kenya inatumia mbinu gani hiyo? Hebu tueleze.Marekani inatumia mbinu ya kenya kujiinua mbele ya china baada ya kugundua inaelekea kuwa nothing kwa china
Chengdu wacha kabisa.Chengdu kumbe ni nyoko hivi? Huenda Sama boy 255 yupo sahihi kwenye suala hili.
Ndicho kitu alikuwa anafanya Magu, copy and paste from China na ndiyo maana ukaona yupo bize na miundombinu lkn wabinafsi hasa wafanyakazi wa serikalini wakawa wanapiga kelele eti Magu anazingua, hata humu jamii forums idadi kubwa ya waliokuwa wanampinga Magu ukiacha wapinzani uchwara basi ni civil servants, JPM alikuwa right kabisa na ofcz tukiendelea kuyapa kipaumbele aliyoyaanzisha tutafika mbali sn.Waafrika tunakosea sana kujifunza maendeleo kutoka Ulaya na Marekani. Afrika inatakiwa Ijufunze kutoka China na Asia ya Mbali...
China Wana Bwawa Kubwa sana Linaitwa Three Gorges Dam, China walipolikamilisha tu lile bwawa China wakaanza Kukuwa kiuchumi kwa Speed Kubwa sana.
Ila Sisi!! Imagine Tanzania tulipoanza kujenga Bwawa letu hadi Watanzania wenyewe wakawa wameweka Figisu lisifanyike..
Hakuna barabara ya basi hapo, al shabaab waliteka hio basi wakuuwa watu, sasa jamaa anatumia hio picha kuprove barabara ama alshabaab?Sasa kosa lipo wapi?, Kuna athari gani kwa kuionyesha na faida gani kwa kuzificha?, wacheni kupenda kulialia
Hongereni sisi tumebakia na hutu tu 737 Cargo freighters tuOk, basi zinafanana but we have already ordered 777 freighter, unalijua hilo?View attachment 2065087View attachment 2065089View attachment 2065090
Chinese cities kusema ukweli ni noma, kwanza Shenzhen, hata ukienda their rural areasChengdu kumbe ni nyoko hivi? Huenda Sama boy 255 yupo sahihi kwenye suala hili.
Sorry not 777 we have placed an order for B767-300.Hongereni sisi tumebakia na hutu tu 737 Cargo freighters tuView attachment 2065244
Tume order B767-300 freighter na ndiyo hii hapa [emoji116][emoji116]Hongereni sisi tumebakia na hutu tu 737 Cargo freighters tuView attachment 2065244
Hapo katikati pakishakamilika hii road itapendeza sn.Leo nimeenda zangu Kibaha kiwandani kwa Mchina Kupiga misosi na kuangalia jinsi ya kupiga hela 2022. Nimegundua tunatengeneza BRT lanes kwa kutengenisha lane mbili za zamani za Morogoro road na hizi sita mpya.
View attachment 2065258
View attachment 2065257
View attachment 2065266
View attachment 2065268
Kuna lane kama zote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2065259
View attachment 2065260
View attachment 2065261
View attachment 2065262
View attachment 2065263
View attachment 2065264
Mkuu hapo kiwandani ni KEDDS nini?Leo nimeenda zangu Kibaha kiwandani kwa Mchina Kupiga misosi na kuangalia jinsi ya kupiga hela 2022. Nimegundua tunatengeneza BRT lanes kwa kutengenisha lane mbili za zamani za Morogoro road na hizi sita mpya.
View attachment 2065258
View attachment 2065257
View attachment 2065266
View attachment 2065268
Kuna lane kama zote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2065259
View attachment 2065260
View attachment 2065261
View attachment 2065262
View attachment 2065263
View attachment 2065264
This road has taken long, expressway imeifikia now they are being completed at the same time.., hii ni 3 years I guess... safi sana, all major road projects in the country zinaisha this 2022.., GDP will be on steroids going forward...,Uhuru na kazi
View attachment 2065190
Good work, harakisheni..., we ain't waiting for you.Leo nimeenda zangu Kibaha kiwandani kwa Mchina Kupiga misosi na kuangalia jinsi ya kupiga hela 2022. Nimegundua tunatengeneza BRT lanes kwa kutengenisha lane mbili za zamani za Morogoro road na hizi sita mpya.
View attachment 2065258
View attachment 2065257
View attachment 2065266
View attachment 2065268
Kuna lane kama zote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2065259
View attachment 2065260
View attachment 2065261
View attachment 2065262
View attachment 2065263
View attachment 2065264
But good is that unamalizia Expressway pale Rironi alafu unaingia kwa hii.This road has taken long, expressway imeifikia now they are being completed at the same time.., hii ni 3 years I guess... safi sana, all major road projects in the country zinaisha this 2022.., GDP will be on steroids going forward...,
😍🔥🔥🔥 after this, tunaingia Mau Sammit.., this will be best, na elevated section across Nax Vegaz CBD...,