The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Umeumia tupake mate au, hapo ni Tz na co UlayaAre you aware that 78tr out of 82tr Tanzanian public debts ni external?





Umeumia tupake mate au, hapo ni Tz na co UlayaAre you aware that 78tr out of 82tr Tanzanian public debts ni external?





Mkuu hapo kiwandani ni KEDDS nini?
2022 tupeane michongo wakuu.. Tuinuane ili tuvimbe ndani humu hata tukitoa punch Kwa wakunya ziwe zenye afya! Moja chaliii
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa mkuu.Hapa sio KEDDS Boss, ni kiwanda kimoja kipo Barabarani Ni kama mita kadhaa kutoka Puma Petrol station kama unaelekea Moro upande wa kulia. Fursa ikikaa vizuri tutavimba Wote Boss.
AMEN MKUU 007!!!. Tumekuwa vinara wa kushuhudia na kuyasemea mazuri yanayofanyika katika nchi zetu!!!!. Bravo Brothers and Sisters na Rastaz wote!!!Wakuu kwa pamoja kabisa nawaombea kila la heri katika kusubiri mwaka mpya wa 2022, tumekuwa pamoja humu kwa muda mrefu japo tunakwaruzana lkn ukweli ni kwamba tumefunguana upeo kwa kiasi kikubwa sana
Ningependa kuwashukuru wote humu uwe Mtz, Mkenya, Mnyarwanda, Mganda, Mburundi n.k mapambano yaendelee mpk tuhakikishe EA ina lead Africa ktk suala zima la development, Mungu awabariki sana.
Cc Emc2 kadoda ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe Mkikuyu- Akili timamu Yule msee Mgagaa na Upwa
babayao255 NDINDA Sama boy 255
game over tuusan Simon Mkwanzania Nicxie NairobiWalker komora096 dyfre Lwiva Tony254 MK254 Don YF noma sana Amari ntazana ntazana Walker255 mwaswast Magix Enga Janerose mzalendo Lusematic Shebby01 Chamoto LightYagami Tz_one eliakeem chongchung Naton Jr Fundi kitasa Ntaghacha Gwakagwaka IamLee Teargas zuwena Undava King WAKUDAMSH nao Edward Wanjala Dotworld asvptx Smartkahn KENPAULITE Coco reborn xng hua nairobae Simba 254 nguvusimba NAWATAFUNA TEMLO DA VINCA dickchiller kikihboy muhogo_kiks Mashashola coodip1 manimac jiwe jeusi
List inaendelea.
Why would anyone compare Chengdu to Chicago?🚮🚮Chicago gdp vs Chengdunyie nyie....Chengdu bado sana kwa Chicago....anaebisha abishie uzoefu...hii chengdu inaweza chapwa hata na Dubai View attachment 2065346View attachment 2065347
Kwa barabara I salute President Uhuru Kenyatta. This is KakamegaTurkana - the poorest county in Kenya.
View attachment 2065421
View attachment 2065424
View attachment 2065426
View attachment 2065427
View attachment 2065428
View attachment 2065429
View attachment 2065431
Hapo ndio CBD yao.?Turkana - the poorest county in Kenya.
View attachment 2065421
View attachment 2065424
View attachment 2065426
View attachment 2065427
View attachment 2065428
View attachment 2065429
View attachment 2065431
Ila wakenya bana....Sasa hapo Cha ajabu ni nini?
Ndio nini sasa?