dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Hapo mnataka misaada tu hamna lolote . Kunyaland mnapenda udalali mpate cha juuWe host the world's largest refugee camp. Najua maana ya neno hospitable ndio hujui
Hapo mnataka misaada tu hamna lolote . Kunyaland mnapenda udalali mpate cha juuWe host the world's largest refugee camp. Najua maana ya neno hospitable ndio hujui

GDP is a whiteman economic illusion from yester years GDP was used by whiteman Bretton Woods institutions to subjugate independent countries economically while forcing them to play to their tunes. You have to understand the transition from administrative colonisation to economic colonisation and tools employed to achieve this transition.Kwa hivyo hata wazungu kusema hampo LDC tena kwa sababu GDP yenu iliongezeka kumbe ilikuwa tu propaganda pia?
That is only a babylon system label but as a country we know we are far beyond that label of LMICKwa hivyo hata wazungu kusema hampo LDC tena kwa sababu GDP yenu iliongezeka kumbe ilikuwa tu propaganda pia?
With facts of courseWatu wakishachanganyikiwa this is how they behave



But these are not main roads. Nyinyi barabara zinazotumika na long distance buses ziko in poor conditions.🚮🚮Sisi sio wajinga kwamba tutajisifu eti our each and every single road is tarmac road, lahasha .. kwasababu hata uko kwenu hizi 👇ni vitu mumezoea View attachment 2064426View attachment 2064427View attachment 2064428View attachment 2064429
GDP was a whiteman stick to rude boys all socialist and communist countries were labeled in bias including Tanzania in 80s.Ila mzungu mtu mbaya sana yani NK eti iko na GDP ndogo kuliko KenyaView attachment 2064222View attachment 2064223View attachment 2064224View attachment 2064226View attachment 2064227View attachment 2064228View attachment 2064229View attachment 2064230View attachment 2064231View attachment 2064232we all East Africans dreaming of havig this level of development .. mzungu bhana ..GDP ni propaganda tu
Itabidi tuwaulize watuambie maendeleo ni nini...? na sisi tupo hapa kufanya nini.? Mana 24/7 ni kupost barabara, reli, majengo mazuri ya kupendeza n.k.. sasa ikiwa hivi vyote sio maendeleo tunafanya nini hapa.?
Jamani kama ninyi hamjawaelewa shauri yenu, mimi tayari nimemuelewa sababu kinyume cha hayo yote tuliopost kuhusu North Korea ambayo amesema sio maendeleo ni hivi vituAlafu mtu anakwambia hayo co maendeleo, ss kama hayo co maendeleo tunafanya nn hapa kwenye huu uzi, mana 24/7 tunapost mambo yanayofanana na hayo tuki claim kwamba tunaendelea.
That's data for half a year, not full year.....and it's for the first time in decades. Shida hamjui kusoma. For the whole year, Kenya had an edge. Check the statistics.Hahahaha, hahaha, hahahaha
Tanzania ndio dume la mbegu ukanda huu, tunawapanda kichwani wote, mnatumia bidhaa za Tanzania kuanzia "Bongo Flavor", Chakula, Cement, Juices and Energy drinks, karatasi, mbao, nguzo za umeme, transforma za umeme, mafuta ya kupikia, Ceramics, Konyagi, Wines, .........![]()
Tanzania’s exports overtake imports from Kenya for first time in decades
Tanzania’s exports to Kenya have exceeded its imports to the East African Community (EAC) partner state for the first time in decades, signalling improved trade flows under President Samia...www.thecitizen.co.tz
![]()
Hahahaha, huwa tunafanya Mambo yetu kimyakimya tukiibuka ndio Kama hivi Sasa, masoko ya nchi zote tumeyakamata.That's data for half a year, not full year.....and it's for the first time in decades. Shida hamjui kusoma. For the whole year, Kenya had an edge. Check the statistics.


Mbona umeogopa kuonyesha hii unaleta picha ya 20 years ago?
.Sisi raia wa nchi yenye ultra modern public bus stops tunashangaa umeweka nn hapa hebu tueleze tueleweMbona umeogopa kuonyesha hii unaleta picha ya 20 years ago?.
Hata Mshikane na Rwanda,Uganda, Burundi na Somalia Nyinyi bado hamuwezani na KenyaView attachment 2064675View attachment 2064676View attachment 2064677







Sisi raia wa nchi yenye ultra modern public bus stops tunashangaa umeweka nn hapa hebu tueleze tuelewe![]()












Ultra Modern Bus stop.Uwe unafikiria kwanza kabla hujaandika maneno mengiKwahiyo huo mji wa China unaifananisha na mji upi Africa hii? Hivi Kwanini watu hamna hata mshipa wa aibu?
Kwenye uelewa mpana wa mambo tutasitiriana ila hata kilaza wa mwisho huwa na aibu ndio maana haendi uchi![]()
Dunia ya leo ni zaidi ya infrastructures,kama unazalisha lakini huwez kuuza bidhaa zako nje kutokana na vikwazo huo uchumi wako hauwezi Kia shindani...fuatilia maisha ya watu wa North Korea linganisha na nchi kama South Korea ndio utaelewa kwann wanakua ranked kama toddlers kwenye uchumiMji wa Pili kwa ukubwa North Korea Nampho
View attachment 2064521View attachment 2064522View attachment 2064523View attachment 2064524View attachment 2064525
Hizi data huwa zinabadilika kila mwaka, wacha tuone mwaka huu mambo yatakuwa vipi. Isitoshe data hio ni ya miezi sita tu, usishangae ikiwa ikija kwenye mwaka mzima wa 2021 pengine tumewapiku.Hahahaha, huwa tunafanya Mambo yetu kimyakimya tukiibuka ndio Kama hivi Sasa, masoko ya nchi zote tumeyakamata.
Soma "articles" za David Ndii kuhusu uchumi wa Tanzania na Kenya ambazo aliziandika takriban miaka 6 nyuma, alifafanua na kusema kwamba, Tanzania inajenga uchumi wake juu ya misingi imara iliyowekwa na Nyerere ambayo ni;
1)Umoja
2)Amani
3)Uzalendo
4)Utu
Nyerere hakukimbilia kujenga uchumi kwanza, yeye aliamini kwamba bila kuwepo kwa hayo Mambo manne, hakutokua na uchumi endelevu, aliamini kwamba uchumi wa Kenya umejengwa juu ya misingi dhahifu Sana, Kenya hakuna Umoja, Amani, Uzalendo Wala UTU.
Ndii alisema kwamba, baada ya Tanzania kufanikiwa kujenga misingi imara ya nchi Yao, Sasa wamegeukia kujenga uchumi imara, hivyo Tanzania itatawala ukanda huu, Kenya kila baada ya miaka 5 uchumi unarudi nyuma kutokana na fujo za uchaguzi.
Tanzania tumerudi katika kiti chetu cha kuwa Taifa lenye kuzalisha kwa wingi bidhaa na kuweza kuwa "The biggest Exporter to all it's neghbors", sio kwa kubahatisha![]()