Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo number 5 quality of living Chicago amempiga Chengdu vibaya mno. Quality of living tunazingatia kipato cha wananchi na Mmarekani mmoja on average anapata kipato mara tano ya Mchina. Gni per capita ya Mchina ni $9,000 wakati Gni per capita ya Mmarekani ni zaidi ya $50,000. Kipato cha mtu anayeishi Chicago kwa wastani ni mkubwa sana kushinda kipato cha mtu anayeishi Chengdu
Asante kwa shule
 
UAP killed it yesterday
FB_IMG_16410341873489336.jpeg
FB_IMG_16410342222025984.jpeg
FB_IMG_16410342280244857.jpeg
FB_IMG_16410341991288317.jpeg
FB_IMG_16410342338327228.jpeg
 
Hapo number 5 quality of living Chicago amempiga Chengdu vibaya mno. Quality of living tunazingatia kipato cha wananchi na Mmarekani mmoja on average anapata kipato mara tano ya Mchina. Gni per capita ya Mchina ni $9,000 wakati Gni per capita ya Mmarekani ni zaidi ya $50,000. Kipato cha mtu anayeishi Chicago kwa wastani ni mkubwa sana kushinda kipato cha mtu anayeishi Chengdu
Huwezi kulinganisha Gni au per capital income bila kulinganisha PPP, hiyo $9000 ya Mchina inaweza kuizidi hiyo ya $50000 ya Wamarekani katika nguvu ya kununua bidhaa na huduma.
 
Hivi sababu kubwa ya mfumuko wa Bei ni kuongeza mishahara ya wafanyakazi wasiozidi 100000 katika nchi ya watu 50M?
Tumia akili kuongeza mishahara hakuna tofauti na kuchapa pesa mpya kwa ajili ya kuongeza mishahara kuna mahesabu makubwa hapo kinyume chake wafanyakazi mnadanganya kuwa mmeongezwa mishahara kumbe mmepunguziwa mishahara mfano mshahara ni sh1000 na kilo ya mchele sh1000 kisha ukaongezewa mshahara sh1200 na kilo ya mchele ukapandishiwa kutoka sh1000 hadi sh1700 sasa hapo umepata faida gani kwa kupandishiwa mshahara ? Kwa kuwa kiwango ulicho pandishiwa ni chini ya kilichopanda kwenye gharama ya maisha ,kwa kifupi hapo utakuwa umeshushiwa mshahara ila kwa kuwa wafanyakazi wa serikali ni MAZUZU WENGIWAO WATASHANGILIA
 
4% ndio nn sasa watu wengine bana
Wafanyakazi wa serikali ni mazuzu sasa wewe unashangaa 4% ,mama aliwapunguzia makato sijui kodi kwa 1% wakaona wamepata kumbe wanachezewa akili tozo zinakula zaidi ya hiyo asilimia moja ,wafanyakazi wa serikali ni mazuzu og wanapokonya sh 100 na kuongezewa sh 20 wanafurahi na kukenua meno kwa kushangilia ,this people is real stupid
 
Yani US imekua ni kituko cha dunia, mipango ya kujenga California high speed railway with 1287 km, mipango ya tangu mwaka 1996-2008 walipoanza ujenzi na yet hadi leo mchongo bado upo U/C eti ndio ishindane na china . Naomba kuuliza wajameni hizo utajiri mnataja kumilikiwa na US, hizo pesa Huwa wanazitumia kufanyia nini.? .. eti bros Tony254 The best 007 ichoboy01
Baba China noma, ila cc wengine kwasababu tunaipenda US tangu tukiwa wadogo we tuache na US yetu
 
Jamaa kafukiria kindezi sana
Uweze wako wa akili ni mdogo sana kufikili
Never never usithubutu kutatua matatizo ya mfumuko wa bei kwa kuongeza mishahara hiyo ni kanuni ni kama kuchapa mafedha hovyo ukidhani nchi itakuwa tajiri
 
You have to check out your facts bro.. buildings with 150 metres in china are more than 2669 while US has about 843 buildings, na top Three list ya miji yenye majengo marefu yenye 150m+ in the world :-
1. Hong Kong- 517 buildings
2. Shenzhen- 340 buildings
3. New York- 298 buildings

NB: usisahau kwamba china Iko na 130 cities na pia China sio stagnant kama US...

Owky turudi kwa CHENGDU na CHICAGO, nimefanya research zangu na nikadundua CHENGDU inaiacha mbali sana Chicago kwenye maeneo yafuatayo

1. Subways (hapa ndio hata siwezi linganisha mana US ni vichekesho)

2. Airports (chengdu Old terminus handles about 55m passengers annually, and the new terminus, Chengdu Sichuan international airport is expected to handle more than 100m passengers annually while Chicago O'HARE international airport handles about 30m+ passengers annually)

3. High speed train (hapa napo ni hatari kwakweli, Chengdu beats Chicago hands down)

4. Roads infrastructures (chengdu wins)

5. quality of living (chengdu wins)

6. Innovation (chengdu wins)

7. Peace and security (chengdu wins)

8. Poverty eradication (chengdu wins)

9. Production (chengdu city has a lot of manufacturing companies including car manufacturing company (Volvo) which has annual sales revenue of about 40b+ 2020 report says while the biggest manufacturing company in Chicago (Sciaky, Inc) has about 249.9m sales revenue annually 1/1/2022 report says

10. Science and technology (chengdu wins)

Usisahau CHENGDU ni mji wa sita kwa maendeleo china while Chicago ni mji wa tatu kwa maendeleo China.. and that's why nasemaga US is nothing compared to China likija suala la maendeleo


Kwako wewe sasa unaona Chicago inaizidi chengdu kwenye maeneo yepi.? Uniaminishe mimi kwamba Chicago ni better than chengdu ..nipe facts bro nasubiri
Hizi nyundo za 2022
 
Uweze wako wa akili ni mdogo sana kufikili
Never never usithubutu kutatua matatizo ya mfumuko wa bei kwa kuongeza mishahara hiyo ni kanuni ni kama kuchapa mafedha hovyo ukidhani nchi itakuwa tajiri
Mfumuko wa bei unahusiana nn na kupandisha mishahara wewe?bei za bidhaa zinapanda kwa factors zingine kabisa wacha kua kama hukuenda shule...btw watumishi wa serikali kuongezewa mishahara iko kisheria wala sio utashi wa raisi...sijui unawaza nn hata ivyo
 
Back
Top Bottom