Tunaongelea story za propaganda ya wazungu jinsi alivyosema mwenzako. Wacha kubadilisha mada na hizi povu zakoLabda nikufafanulie in simple terms ndio uweze kuelewa kuna mtu ana Ksh 1000 kwa hela hiyo anaweza kupata ugali na sukuma wiki tuu kwenye nchi yake na mwingine ana Ksh 500 anaweza kupata ugali nyama mbogamboga na beer 2 kwenye nchi yake. Sasa niambie kati ya hao wawili ni nani ambaye kidogo ni well off? Ukijua hilo sasa tutaendelea na somo lingine la purchasing power.
Kwahiyo hii hapa haikujengwa ama unamaanisha nini?Mimi naongelea reli iliyojengwa Tanzania Kwa Sasa, Sio reli iliyo mipangoni.
Bongolala, mataifa yote ambayo yameorodheshwa kwenye hiyo list ni lower middle-income countries, Kenya na Morocco zikiwemo. Ama hujaona mahali pameandikwa LOWER MIDDLE INCOME kabla ya hiyo list?moroco ni upper middle income umeona tofaut hapo 😂😂😂😂 najua umevamia mada bila kusoma vzr
Ndugu Tuusan, huoni kwamba that's almost five years?Kua muungwana imeanza kujengwa 2017 April to date...
Kama bado hapo hujaelewa kuwa GDP ni propaganda za wazungu basi pole yako. People dont eat GDP my friendTunaongelea story za propaganda ya wazungu jinsi alivyosema mwenzako. Wacha kubadilisha mada na hizi povu zako

Hahahaha, "Kenyans are most hospitable people?"You are a Tanzanian, and you can't dictate for us which country to do business with and at what time. Ama kuna kitu inakudanganya kwamba Tanzania ndio nchi pekee inayozalisha mahindi duniani?
Just because you are jealous about Kenya doesn't mean we have to do the same with you. Kenyans are the most hospitable people in this region. We host hundreds of thousands of Somali refugees. Sasa hawa ombaomba wenu scattered across our streets mbona tuwafukuze? Hatuna hiyo roho mbaya Kama yenu. Tungeshaanza na wale wachaga wa Gikomba kitambo sana lakini sisi si Kama nyinyi







Kwa hivyo hata wazungu kusema hampo LDC tena kwa sababu GDP yenu iliongezeka kumbe ilikuwa tu propaganda pia?Kama bado hapo hujaelewa kuwa GDP ni propaganda za wazungu basi pole yako. People dont eat GDP my friend![]()
But we are the only country mining Tanzanite on Earth. but India and Kenya were the biggest sellers of TanzaniteCrap
If you were producing more export oriented avocados than us, you would be exporting more than us. Hizi excuses ziwafanya mkae wajinga.



aibu nimeona mimdah hadi huruma.. eti anaorodhesha bypass.. bypass si equivalent to bridges.. tukiamua kuorodhesha bridges zinajengwa Tanzania si mtakimbia.. kuna wami bridge, kibiti bridge, sibiti bridge.. yan kuna bridges kibao zinajengwa afu hata haturingi nazo.. kwenye barabara ndo msiseme
-kwenye port expansion, ports zetu zote ziko under construction, kuna mtwara port, Dar port, Tanga port, kalema port, hapo bado sijaorodhesha meli tunazojenga..
-kwenye housings projects, kuna nyumba nyingi sana zinajengwa Dodoma na sehem nyingine kama picha za humu zinavyojieleza
We host the world's largest refugee camp. Najua maana ya neno hospitable ndio hujuiHahahaha, "Kenyans are most hospitable people?"![]()
Kunyaland nye nye nyeee uchumi mkubwa..Bongolala, mataifa yote ambayo yameorodheshwa kwenye hiyo list ni lower middle-income countries, Kenya na Morocco zikiwemo. Ama hujaona mahali pameandikwa LOWER MIDDLE INCOME kabla ya hiyo list?
Wewe unataka nijibu swali lako wakati swali langu hujalijibu!Usijaribu kutoka nje ya mada, WB inaitaja Kenya kuwa na GDP kubwa kuliko NK .. je ni kweli Kenya iko na maendeleo kuliko NK.?
Watu wakishachanganyikiwa this is how they behave
Tanzania hoyeeeTanzania has trade surplus of $1.09b with SADC
Also, a trade surplus of $484.5M with EAC in 2020
na hapo mtu anashangaa Tanzania kuwa na na millionaires wengi kuliko Kenya
Huu wazimu wako hatutawezanawhere is BRT show us 🤣🤣🤣🤣 au ndio ile mulipaka rangi thika??? na kile kituo kimoja hakina kichwa wala mguu ndio munaita BRT
where is 3level in mombasa au ndio ule ushuzi kama wa pangani ndio munaita three level😂😂😂😂
where is dongo kundu 1.4km bridge tuoneshe tucheke plz 🤣🤣🤣🤣🤣
Your countrymen in here are real hypocrites btw. Something is only good when it paints them positively. The same thing ikisema anything positive about another country then papo hapo kinakuwa kibayaHypocrisy.
Polee.Watu wakishachanganyikiwa this is how they behave