Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii ndio ile bukhungu stadium kutoka nchi iliofeli 😂😂😂😂
BC5FF326-F4AC-49AA-A1C9-DAE6D9AAEDDA.jpeg

Nimecheka Sana
Makenya ni majitukabeja, kuna formula tuliikariri kule primary inaitwa JITUKABEJA nadhani kwa wanaoijua wananielewa, sasa hilo jina ukiondoa maana yake ndiyo huwa tunawaita majitu flani flani hivii alafu tunacheka sana
 
I thought all arable land in Kenya is under white man's tea and flowers like your bongolala brothers always claim.

Then why aren’t you guys utilizing these open fields to feed the your desperate kunyans dying of hunger ?
 
Tanzania doesn't feed Kenya you dickhead! Tunanunua mahindi Kutoka kwenu, hamtupatii bure. We can choose to buy from any country in the world but we choose to buy from you because you are our neighbours (as much as you are stupid and jealous). Tumewahi nunua mahindi from as far as Mexico wewe kilaza. Umewahisikia Mexicans wakisema wanatulisha?

Hebu taja hizo miradi kubwa na ya kisasa ambazo mmejenga na watu wengine hawana.

Mnategemea kutuuzia umeme? 😂 😂 Bongolala, Kenya is already producing enough electricity to cater for her own electricity needs, hadi tukabakisha surplus. And just to remind you in case you forgot, tunazalisha na kutumia umeme nyingi kuwaliko.

Again, hebu taja hizo infrastructure ziko Tanganyika that we only dream to have. Ama ziko tu akilini?

Wananchi wenu hawangekuwa wanakufa njaa hamngevamia mitaa na barabara za miji zetu na bakuli mikononi kama nzige
mbona hamujanunua tena mexico simuliletewa mahindi yame expire leo hii mumesahau 😂😂 tanzania haikwepeki wacha nikuweke wazi na sasa kma ulikua huna taarifa export kutoka tanzani kwenda kenya ni kubwa kuliko kenya kuja tanzania

hvi unaafkiri wangekua ni watanzani kweli musingewarudisha kwao kwa roho zenu nyinyi?? au munawafurahisha wazungu kwa kutumia kigezo ni watanzania kumbe wakeny wenzenu 😅😅😅

umesahau magufuli aliwarudisha waalimu wengi sana kutoka kenya waliokua wamejaa tanzania mbona nyinyi hamukuwarudisha tukaamini ni watanzania
 
Mtu anakwambia Dar - Morogoro ni 500km. Yani 189km imekuwa 500km. Tangu lini Bongolala ikajenga 500km of SGR?🤣🤣
That's what happens when you argue with someone who uses emotions instead of his/her mind. They end up messing up big time just like that idiot did. People who don't even take two seconds of their time to counter-check what they are talking about.
 
Hujui kitu kuhusu Kilimo cha Parachichi, Nina ekari kadhaa za avocado iringa na Njombe,
The variety that is acceptable in the international market now ni hii hapa uliyoiweka inaitwa hass,
Hayo yanayoingizwa toka Burundi are just for local consumption. and it is just for gap filling during low season..
Hapa bongo parachichi hizi hizi za kienyeji huwa zinazaa msimu na ni mara moja tu kwa mwaka, kuna wakati zinazotoka Kilimanjaro, mbeya, Morogoro na Iringa zinakata ndio wabongo huenda kununua Burundi,
But the Hass variety is the ones meant for export na ndio na madalali hadi huko kunayaland are scrambling for.
 
mbona hamujanunua tena mexico simuliletewa mahindi yame expire leo hii mumesahau 😂😂 tanzania haikwepeki wacha nikuweke wazi na sasa kma ulikua huna taarifa export kutoka tanzani kwenda kenya ni kubwa kuliko kenya kuja tanzania

hvi unaafkiri wangekua ni watanzani kweli musingewarudisha kwao kwa roho zenu nyinyi?? au munawafurahisha wazungu kwa kutumia kigezo ni watanzania kumbe wakeny wenzenu 😅😅😅

umesahau magufuli aliwarudisha waalimu wengi sana kutoka kenya waliokua wamejaa tanzania mbona nyinyi hamukuwarudisha tukaamini ni watanzania
You are a Tanzanian, and you can't dictate for us which country to do business with and at what time. Ama kuna kitu inakudanganya kwamba Tanzania ndio nchi pekee inayozalisha mahindi duniani?

Just because you are jealous about Kenya doesn't mean we have to do the same with you. Kenyans are the most hospitable people in this region. We host hundreds of thousands of Somali refugees. Sasa hawa ombaomba wenu scattered across our streets mbona tuwafukuze? Hatuna hiyo roho mbaya Kama yenu. Tungeshaanza na wale wachaga wa Gikomba kitambo sana lakini sisi si Kama nyinyi
 
Tanzania doesn't feed Kenya you dickhead! Tunanunua mahindi Kutoka kwenu, hamtupatii bure. We can choose to buy from any country in the world but we choose to buy from you because you are our neighbours (as much as you are stupid and jealous). Tumewahi nunua mahindi from as far as Mexico wewe kilaza. Umewahisikia Mexicans wakisema wanatulisha?

Hebu taja hizo miradi kubwa na ya kisasa ambazo mmejenga na watu wengine hawana.

Mnategemea kutuuzia umeme? Bongolala, Kenya is already producing enough electricity to cater for her own electricity needs, hadi tukabakisha surplus. And just to remind you in case you forgot, tunazalisha na kutumia umeme nyingi kuwaliko.

Again, hebu taja hizo infrastructure ziko Tanganyika that we only dream to have. Ama ziko tu akilini?

Wananchi wenu hawangekuwa wanakufa njaa hamngevamia mitaa na barabara za miji zetu na bakuli mikononi kama nzige
1. Tanzania inailisha Kenya na usijaribu kujiliwaza kwamba tunawauzia only mahindi, tunawalisha unga, wali, vitunguu, nyanya, na vyakula vingine vingi, pia finished goods tumejaza mashelf yenu kwa ss na ndiyo maana cc tuna export zaidi kwenu kuliko nyie mnavyo export kwetu.

2. Kuhusu miradi ambayo tunafanya usiseme nitaje miradi tunayofanya ambayo wengine hawana, sema nikutajie miradi tunayofanya ambayo nyinyi hamna.

3. Kuhusu kuzalisha umeme mwingi na surplus nadhani umesahau kwamba wewe ndiye uliyesema humu kwamba mojawapo ya sababu ya Kenya kutojenga electrified SGR ni kutokuwa na umeme wa kutosha, na kuhusu kuwauzia umeme hilo ni lazima tutawauzia utake usitake, hata ulie hautabadili hilo kutokea cz even ur president anasubiri umeme kutoka Tz kwa hamu kubwa.

4. Kuhusu infrastructures ambazo tunajenga nyinyi hamna nitakaa kmy mpk pale utanionesha electrified SGR, cable stayed bridges, modern Airpots, modern bus terminals, BRT system, au 3level interchange.

5. Eti omba omba kutoka Tz wamekuja Kenya, huyo ombaomba atoke Tz akate passport, alipie visa, na aweze ku survive nchi jirani sasa huyo utamwita omba omba au mtalii, yn Wakenya mlivyo na roho mbaya mruhusu omba omba atoke Tz aje kuchafua mazingira huko kwenu hayo yatakuwa maajabu ya Musa
 
You are a Tanzanian, and you can't dictate for us which country to do business with and at what time. Ama kuna kitu inakudanganya kwamba Tanzania ndio nchi pekee inayozalisha mahindi duniani?

Just because you are jealous about Kenya doesn't mean we have to do the same with you. Kenyans are the most hospitable people in this region. We host hundreds of thousands of Somali refugees. Sasa hawa ombaomba wenu scattered across our streets mbona tuwafukuze? Hatuna hiyo roho mbaya Kama yenu. Tungeshaanza na wale wachaga wa Gikomba kitambo sana lakini sisi si Kama nyinyi
tanzani hamuwezi kuikwepa kwasababu munapata kununua vitu vinavolingana na umaskini wenu 😆😆😆

uheheheh hebu rudia hvi kuna watu wanaroho ukanda huu kama wakenya ikiwa nyinyi kwa nyinyi hamupendini mumejaa ukabila na chuki nduo mutapenda watu wengine ?? hakuna mtanzania atakaa kenya achukue pesa zenu bure alaf mukae kimya tu hakuna na haipo na haitatokea

tatizo lenu nyinyi munakuogopa mzungu na mikopo yake munajifanya kudanganya kwenye media ili mzungu aamini hamuna umaskini kwenu kumbe sasa ni uharo juu ya ushuzi na hata kibera munegkua na uwezo wakusema ni watanzania mungesema mark my words🤣🤣🤣🤣
 
Kwahiyo aliposema mwanaye wa kumzaa amepata covid alikuwa anamaanisha nini? Mbn wewe huwa huna akili ya kuelewa mtu anamaanisha nini?
He knew what kind of people he was dealing with. Alijua jinsi ya kucheza na akili yenu and he succeeded big time
 
Kwamba nchi ya tatu kwa ufukara lkn inawalisha.

Nchi ya tatu kwa ufukara lkn inajenga miundombinu ya gharama kubwa na ya kisasa kuliko nchi yoyote East and Central Africa.

Nchi ya tatu kwa ufukara lkn inategemea kuwawashia taa kwa kuwauzia umeme kwa zaidi ya asilimia 80%.

Nchi ya tatu kwa ufukara lkn ina infrastructures ambazo hamjawahi kuota kuwa nazo.

Nchi ya tatu kwa ufukara lkn wananchi wake hawafi kwa njaa
Nchi ya tatu kwa ufukara lakini inajenga miundombinu kwa pesa za ndani nadhani jibu la nani ni fukara limeshapatikana bila hata kuangalia GDP
 
Reli inajengwa kutoka dar hadi Mwanza,nikusahihishe kutoka dar hadi Makutopora ya Singida ni 742km kwa njia ya reli...njia kuu hazipungui 500km,pia mkandarasi ameanza ujenzi wa njia ya reli kutoka Mwanza kwenda Isaka zaidi ya 300km...Tatizo mnatuchukulia Poa sana...kuna mambo tunayafanya ninyi mmeyashindwa !!....Na juzi TRC wamesign tena mradi kujenga zaidi ya 300km zingine kuunganisha makutopota na Tabora....Line nzima hadi mwanza ni 1200km hadi mda huu kimebaki kipande kidogo cha kutoka Tabora kwenda Isaka cha chini ya 200km.
Huyo mwehu kaingia Google map ka-search Dar-Moro kwa barabara, anajua na reli inapita humo.
 
Kwahyo kati ya tz na ke ni nani ameendelea zaidi?hapo wewe ndio umekurupuka kwanza,
South africa imeendelea zaidi kwasababu kwa pop yake gdp per capita inasoma $6000 while nigeria ni $2000 , lakini vipi ya tz inasoma ngap nikumbushe vs ke

Tatizo lako tuusan huwa unaangalia jambo kwa kigezo kimoja kisha unachora conclusion,
Misri ina population kubwa Karibu mara mbili ya kenya na pia uchumi wake ni mara 5 ya kenya
South Africa in population kubwa kuliko kunya ila imeendelea zaidi kuliko kunyaland.
 
Back
Top Bottom