Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ebu leo tulete miradi (mega projects) ambayo ipo under construction kati ya Tanzania na Kenya

naanza na hii ya Tanzania
  • BRT phase 2
  • SGR lot 1, lot 2, lot 5
  • JNHPP
  • Msalato International Airport
  • JPM bridge
  • Tanzanite bridge

kule kenya naujua mmoja tu wa mchina.. ile express road
Natafuta picha za Msalato Airpot
hapo umesahau

1. Dodoma Outer ring road
2. Dodoma Government City (Huu mradi ni watu hawajaufatilia sana, but hadi kukamilika utachukua karibu Trillion 14 za Kitanzania)
 
Sio Uganda tu, kwani hiyo kenya yenyewe inamshinda nini DPRK? ,GDP ya DPRK si ndogo kuliko GDP ya Nairobi?

View attachment 2063676

DPRK GDP

View attachment 2063677


HAYA MTUAMBIE NANI ANATEMBELEA KICHWA HAPA


View attachment 2063678


View attachment 2063679


View attachment 2063680



View attachment 2063681



View attachment 2063682

View attachment 2063683


GDP my foot

wakenya walichobaki sasa hiv ni ishu ya GDP, lkn kiuhalisia hata sisi Tanzania tumewaacha mbali sana..
GDP ya NK ni ndogo (kama ilivyo Tanzania kwa kenya) lkn kimaendeleo NK imeiacha mbali kenya (kama ilivyo Tanzania imeacha mbali Kenya)
 
Dar built up area yao ndio hii hapa. Nothing beyond these two districts View attachment 2063615
Ukitoka hapo, the view of the cbd from most other areas taswira ndio hii. Nothing blocks your view View attachment 2063616
Nioneshe Kawe iko wapi hapo.

Nioneshe Kigamboni iko wapi hapo.

Nioneshe Ubungo iko wapi hapo.

Nioneshe Upanga iko wapi hapo.
 
Natafuta picha za Msalato Airpot
hapo umesahau

1. Dodoma Outer ring road
2. Dodoma Government City (Huu mradi ni watu hawajaufatilia sana, but hadi kukamilika utachukua karibu Trillion 14 za Kitanzania)

pia kuna Stands/Terminal za mabus (mkumbuke hizi zinachochea uchumi na kuboresha muonekano wa jiji/halmashaur)
 
1. Tanzania inailisha Kenya na usijaribu kujiliwaza kwamba tunawauzia only mahindi, tunawalisha unga, wali, vitunguu, nyanya, na vyakula vingine vingi, pia finished goods tumejaza mashelf yenu kwa ss na ndiyo maana cc tuna export zaidi kwenu kuliko nyie mnavyo export kwetu.

2. Kuhusu miradi ambayo tunafanya usiseme nitaje miradi tunayofanya ambayo wengine hawana, sema nikutajie miradi tunayofanya ambayo nyinyi hamna.

3. Kuhusu kuzalisha umeme mwingi na surplus nadhani umesahau kwamba wewe ndiye uliyesema humu kwamba mojawapo ya sababu ya Kenya kutojenga electrified SGR ni kutokuwa na umeme wa kutosha, na kuhusu kuwauzia umeme hilo ni lazima tutawauzia utake usitake, hata ulie hautabadili hilo kutokea cz even ur president anasubiri umeme kutoka Tz kwa hamu kubwa.

4. Kuhusu infrastructures ambazo tunajenga nyinyi hamna nitakaa kmy mpk pale utanionesha electrified SGR, cable stayed bridges, modern Airpots, modern bus terminals, BRT system, au 3level interchange.

5. Eti omba omba kutoka Tz wamekuja Kenya, huyo ombaomba atoke Tz akate passport, alipie visa, na aweze ku survive nchi jirani sasa huyo utamwita omba omba au mtalii, yn Wakenya mlivyo na roho mbaya mruhusu omba omba atoke Tz aje kuchafua mazingira huko kwenu hayo yatakuwa maajabu ya Musa
aki ni ndefuu.... sikuisoma. very lengthy articles scripted in swahili, realy sucks 🤮
causes_of_ear_itching_s1.jpg
 
Sio Uganda tu, kwani hiyo kenya yenyewe inamshinda nini DPRK? ,GDP ya DPRK si ndogo kuliko GDP ya Nairobi?

View attachment 2063676

DPRK GDP

View attachment 2063677


HAYA MTUAMBIE NANI ANATEMBELEA KICHWA HAPA


View attachment 2063678


View attachment 2063679


View attachment 2063680



View attachment 2063681



View attachment 2063682

View attachment 2063683


GDP my foot
Hilo fala Nicxie ni zombie ambalo limeshindwa kuelewa kwamba hyo mada ililetwa kuwastua akili kwamba GDP ni upumbavu.
 
ebu leo tulete miradi (mega projects) ambayo ipo under construction kati ya Tanzania na Kenya

naanza na hii ya Tanzania
  • BRT phase 2
  • SGR lot 1, lot 2, lot 5
  • JNHPP
  • Msalato International Airport
  • JPM bridge
  • Tanzanite bridge

kule kenya naujua mmoja tu wa mchina.. ile express road
Ungeweka na thamani za miradi ili kuwachosha kabisa
 
ebu leo tulete miradi (mega projects) ambayo ipo under construction kati ya Tanzania na Kenya

naanza na hii ya Tanzania
  • BRT phase 2
  • SGR lot 1, lot 2, lot 5
  • JNHPP
  • Msalato International Airport
  • JPM bridge
  • Tanzanite bridge

kule kenya naujua mmoja tu wa mchina.. ile express road
#Nairobi expressway
#Waiyaki highway
#Western bypass
#Eastern bypass
#Mombasa port expansion
#Eldoret Juba highway
#Dongo kundu phs 2(includes 2 bridges,600m and 1.4 km)
#Mombasa mariakani highway(includes 3level interchange and 450m bridge)
#Eldoret bypass
#BRT phse one (Thika road)
#Affordable housing project

PROJECTS TO COMMENCE YEAR 2022
#Isiolo mandera highway,700km
#Nairobi-Nakuru-mau sammit expressway,,200+km
#BRT Phse two and three
#Mombasa gate bridge
 
#Nairobi expressway
#Waiyaki highway
#Western bypass
#Eastern bypass
#Mombasa port expansion
#Eldoret Juba highway
#Dongo kundu phs 2(includes 2 bridges,600m and 1.4 km)
#Mombasa mariakani highway(includes 3level interchange and 450m bridge)
#Eldoret bypass
#BRT phse one (Thika road)
#Affordable housing project

PROJECTS TO COMMENCE YEAR 2022
#Isiolo mandera highway,700km
#Nairobi-Nakuru-mau sammit expressway,,200+km
#BRT Phse two and three
#Mombasa gate bridge
tuweke na gharama?

Nairobi express way ni kama USD 600 million na bado mnajengewa kwa riba ya miaka 27 na bado sound ya mchina 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 and this is one of your top project...
Wakenya lini mtakuwa serious na nchi yenu,
 
Kwa tafsiri ya Wakenya (vichwa panzi) GDP inamaanisha uchumi mkubwa na ulioendelea na ndiyo maana licha ya kumfundisha kwa vitendo bado hajaelewa.
kwani tanganyika mna nini cha ajabu kenya hatuna.?!. aah?. nyinyi ndio mnaunda muundo msingi sahizi, tangia juzi kwa wakati wa magafuli.
sisi tulikwisha yaunda mingi kati ya hizo miradi zenu kitambo. wewe mwehu nini..
 
Before ranting, this topic was started by your fellow countryman. When I did a Google Search, I realized his sentiments were true. But one thing I know is that North Korea is led by a dictator so chances are that they do not provide accurate information about most of their data relating to economy, military, and such things.
 
#Nairobi expressway
#Waiyaki highway
#Western bypass
#Eastern bypass
#Mombasa port expansion
#Eldoret Juba highway
#Dongo kundu phs 2(includes 2 bridges,600m and 1.4 km)
#Mombasa mariakani highway(includes 3level interchange and 450m bridge)
#Eldoret bypass
#BRT phse one (Thika road)
#Affordable housing project

PROJECTS TO COMMENCE YEAR 2022
#Isiolo mandera highway,700km
#Nairobi-Nakuru-mau sammit expressway,,200+km
#BRT Phse two and three
#Mombasa gate bridge

aibu nimeona mim dah hadi huruma.. eti anaorodhesha bypass.. bypass si equivalent to bridges.. tukiamua kuorodhesha bridges zinajengwa Tanzania si mtakimbia.. kuna wami bridge, kibiti bridge, sibiti bridge.. yan kuna bridges kibao zinajengwa afu hata haturingi nazo.. kwenye barabara ndo msiseme

-kwenye port expansion, ports zetu zote ziko under construction, kuna mtwara port, Dar port, Tanga port, kalema port, hapo bado sijaorodhesha meli tunazojenga..
-kwenye housings projects, kuna nyumba nyingi sana zinajengwa Dodoma na sehem nyingine kama picha za humu zinavyojieleza
 
Back
Top Bottom