I do agree that using GDP to determine a country’s development has its shortcomings, but North Korea is definitely very poor, hata China. Ukiwa China especially kwenye Miji mikubwa lazima utafikiri kuwa umasikini hakuna, but ingia ndani ya nchi utashuhudia. In North Korea things are quite different. Ukitembelea North Korea kama tourist unapata mlinzi wa kukuongoza na hoteli specific Kwa ajili ya watalii(huruhusiwi kutoka nje ya hoteli). Ikimaanisha kuwa nchi haitaki ufahamu hali halisi inayoendelea!
Naona watu wanapost maghorofa ya Pyongyang, which are actually just a disguise, hiding the real situation. Maghorofa sio indication ya development! Dubai has mega tall buildings lakini angalia maisha ya wananchi wa kawaida, especially immigrant workers Ndio utaona kuwa magorofa hayo yote ni maigizo tu. Only the wealthy live a prosperous life, Ila watu wa kawaida wanateseka.