Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo jamaa ni mtanzania mwenzetu lakini ajabu hatumii akili yeye anaenda na propaganda tu ndio njia aliyochagua 😂😂😂
yeye hapendi ujamaa mchunguze vzr sana ni mtu anaesupport sana ubepari na ubeberu hakubaliani kabisa na ujamaa 😂😂😂

dunia ya leo karibia nchi zote za ujamaa zinakwenda juu sana

tazama russia, china
 
yeye hapendi ujamaa mchunguze vzr sana ni mtu anaesupport sana ubepari na ubeberu hakubaliani kabisa na ujamaa 😂😂😂

dunia ya leo karibia nchi zote za ujamaa zinakwenda juu sana

tazama russia, china
Bro huo ni ukweli uliowazi kabisa
 
Yaani wanajikaanga wenyewe kwa mafuta yao! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa watu wana upumbavu wa kuzaliwa, mmoja anasema Dar-Moro ni 550km mwengine anampinga mwenzake pasipo kujua, wivu na roho mbaya inampelekea kupunguza urefu wa kipande cha Dar-Moro kutoka 300km mpaka 189km[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwengine anakuambia reli yetu ya electrified SGR tumeanza kuijenga miaka mingi iliyopita, yani ubora wa hii reli unawafanya kupagawa na kusahau kwamba imeanza kujengwa 2017.

Mwengine anakuambia reli haiishi tu anasahau kwamba tunajenga SGR yenye European standards na ndefu kuliko zote Afrika, alitaka tujenge kwa miaka miwili iishe kama upgraded MGR yao ambayo kulikuwa hakuna haja yoyote ya kumuita mchina kuijenga, mana ni kuweka tuta na reli juu ya tuta kazi imeisha, yani upgraded MGR ya Kenya hata Suma JKT wangeijenga vzr tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila yote tisa bro sisi tunatakiwa tuheshimike bhana yani tuko na speed kama China ya Afrika, ndani ya miaka kumi tayari tutakua tumekamilisha reli ya SGR 1590 km 🙌🙌,
 
Ila yote tisa bro sisi tunatakiwa tuheshimike bhana yani tuko na speed kama China ya Afrika, ndani ya miaka kumi tayari tutakua tumekamilisha reli ya SGR 1590 km [emoji119][emoji119],
Makenya hayapendi kusikia hizi habari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Makenya hayapendi kusikia hizi habari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ooh bro usichokijua ni kwamba hiyo ni awamu ya kwanza ya mradi, kuna awamu ya pili ujue, tutakayounganisha Kongo burundi na Rwanda.. mama juzi alisema wako kwenye maongezi ili kuona wanapataje hela waanze kabisa .. hapo tunazungumzia 2500-3000km of SGR ujue.?
 
Mzee Walker255 china ako na entire world in the country 👇. We unazungumzia makazi ya watu na maendeleo sehemu moja moja za US na dunia 😂😂, na bado China ako na majiji makubwa ambayo sio maarufu duniani 👇. . Halafu unakuja kuzungumzia eti US kuna maendeleo 😂😂😂 u must be crazy..
 
As we beg a fare well to 2021, we are heading with great power in 2022

Screenshot_20211230-201154.png

Screenshot_20211230-201049.png

Screenshot_20211228-190818.png
 
bado wako mbali kwenye maendeleo na utajiri bro unaambiwa kwenye utalii alone morocco inapokea watalii million 10 kwa mwaka just imagine
Wametuzidi sisi ila hawajafika upper middle income kama south Africa au Botswana
 
I do agree that using GDP to determine a country’s development has its shortcomings, but North Korea is definitely very poor, hata China. Ukiwa China especially kwenye Miji mikubwa lazima utafikiri kuwa umasikini hakuna, but ingia ndani ya nchi utashuhudia. In North Korea things are quite different. Ukitembelea North Korea kama tourist unapata mlinzi wa kukuongoza na hoteli specific Kwa ajili ya watalii(huruhusiwi kutoka nje ya hoteli). Ikimaanisha kuwa nchi haitaki ufahamu hali halisi inayoendelea!

Naona watu wanapost maghorofa ya Pyongyang, which are actually just a disguise, hiding the real situation. Maghorofa sio indication ya development! Dubai has mega tall buildings lakini angalia maisha ya wananchi wa kawaida, especially immigrant workers Ndio utaona kuwa magorofa hayo yote ni maigizo tu. Only the wealthy live a prosperous life, Ila watu wa kawaida wanateseka.
The same is true with Nairobi and the rest of Kenya.
 
Why are you avoiding this important question: GDP ni propaganda ya mzungu ikija tu kwa mataifa mengine, lakini the same mzungu akisema dgp ya Tanzania imegrow hapo ndio propaganda inapoishia? [emoji23]
Labda nikufafanulie in simple terms ndio uweze kuelewa kuna mtu ana Ksh 1000 kwa hela hiyo anaweza kupata ugali na sukuma wiki tuu kwenye nchi yake na mwingine ana Ksh 500 anaweza kupata ugali nyama mbogamboga na beer 2 kwenye nchi yake. Sasa niambie kati ya hao wawili ni nani ambaye kidogo ni well off? Ukijua hilo sasa tutaendelea na somo lingine la purchasing power.
 
Back
Top Bottom