Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

aibu nimeona mim[emoji23][emoji23][emoji1787] dah hadi huruma.. eti anaorodhesha bypass.. bypass si equivalent to bridges.. tukiamua kuorodhesha bridges zinajengwa Tanzania si mtakimbia.. kuna wami bridge, kibiti bridge, sibiti bridge.. yan kuna bridges kibao zinajengwa afu hata haturingi nazo

kwenye port expansion, ports zetu zote ziko under construction, kuna mtwara port, Dar port, Tanga port, kalema port, hapo bado sijaorodhesha meli tunazojenga..
So in Tanzania the word bypass is equivalent to a bridge? 😂
 
huna elimu ndo mana huwez kuelewa nilichoongea.. leta gharama za hizo bypass. afu nikuletee gharama za bridges tunazojenga.. tuone nan anatoa hela ndefu kwenye hizo infrastructures
Kwa kubadilisha mada hamjambo. Did you say bypasses and bridges are the same thing? 😂 😂 😂 😂
 
North Korea inazidi nchi nyingi za ulaya ni siasa chafu za marekani ndio zinatengeneza propaganda chafu dhidi ya Pyongyang, cha kushangaza hawa jamaa wana 5$ billion external debt only, maana yake miundombinu yote, technology na maendeleo wamejiletea wenyewe kwa nguvu na uwezo wao binafsi lakini IMF inakuambia Uganda imeipita mbali sana North Korea kiuchumi 🤣🤣🤣🤣
IMF uses data provided by a specific country to calculate GDP of that country. In this case, IMF simply used data provided by Pyongyang
 
Mzee mimi unanichosha hapa tu unapotaka kuongea uongo alafu ukifikiri tutakuacha, Dar-Moro inasubiri treni tu mzee.. mchongo umeshawekwa kila kitu na videos kila siku zinatumwa humu
Treni pia bado inajengwa labda
 
📸
20211231_123003.jpg
 
IMF uses data provided by a specific country to calculate GDP of that country. In this case, IMF simply used data provided by Pyongyang
GDP ni propaganda za mzungu tu mzee.. hakuna taifa la linawezana na North Korea kwenye suala lolote lile.. mzungu ukifuata matakwa yao wanakupaisha kwa sifa hata msizozistahili
 
#Nairobi expressway
#Waiyaki highway
#Western bypass
#Eastern bypass
#Mombasa port expansion
#Eldoret Juba highway
#Dongo kundu phs 2(includes 2 bridges,600m and 1.4 km)
#Mombasa mariakani highway(includes 3level interchange and 450m bridge)
#Eldoret bypass
#BRT phse one (Thika road)
#Affordable housing project

PROJECTS TO COMMENCE YEAR 2022
#Isiolo mandera highway,700km
#Nairobi-Nakuru-mau sammit expressway,,200+km
#BRT Phse two and three
#Mombasa gate bridge
na haturingi wala kuji compare na mtu, wala kupiga kelele
 
aibu nimeona mim[emoji23][emoji23][emoji1787] dah hadi huruma.. eti anaorodhesha bypass.. bypass si equivalent to bridges.. tukiamua kuorodhesha bridges zinajengwa Tanzania si mtakimbia.. kuna wami bridge, kibiti bridge, sibiti bridge.. yan kuna bridges kibao zinajengwa afu hata haturingi nazo.. kwenye barabara ndo msiseme

-kwenye port expansion, ports zetu zote ziko under construction, kuna mtwara port, Dar port, Tanga port, kalema port, hapo bado sijaorodhesha meli tunazojenga..
-kwenye housings projects, kuna nyumba nyingi sana zinajengwa Dodoma na sehem nyingine kama picha za humu zinavyojieleza
bypass sio interchange ndugu yangu. tanganyika mko na masomo gushi sana. eg. dongokundu bypass kwani ni bridge?! jibu
 
Nioneshe Kawe iko wapi hapo.

Nioneshe Kigamboni iko wapi hapo.

Nioneshe Ubungo iko wapi hapo.

Nioneshe Upanga iko wapi hapo.
Nyinyi mnaulizanga maswali kama hizi kwa picha za Nairobi zinazoonyesha cbd upperhil na Kilimani?
Mumewahijiuliza Eastleigh iko wapi?
South C iko wapi?
Kileleshwa iko wapi?
Eastlands iko wapi?
Roysambu iko wapi

All these areas and many others are built up areas with high-rise buildings and apartments tofauti na kwenu ambapo ni midreamhouses
 
Back
Top Bottom