game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,333
Naongelea vitu vilivyokamilika bwana.
Wewe sasa unapenda ligi
Naongelea vitu vilivyokamilika bwana.
What has this statement got to do with what I posted? Nyinyi watu education yenu ni matope tu. Mimi Nakueleza SA is more developed than Nigeria because it's GDP per capita is way higher than Nigeria na wewe unaniambia unrelated information about Kenya and Egypt.![]()



wao wapo upper middle ni tofaut na sisi pamoja na kenya sisi tuko lowe middle tofaut ni kubwa sanaWamewazidi kenya lakini bado wako category ya lower middle income tu kama Tanzania tofauti lazima iwepo kulingana na wao kukutangulia katika eneo hilo ,bado hawajavuka lakini wametuzidi vingi
akili ni kichwani 👇👇👇Hivi reli imefika Makutupora? Munayumianga mavi badala ya akili.🚮🚮
Thibitisha otherwiseMorocco sio nchi ya ulimwengu wa tatu, soma upate uelewa wa mambo.
Umezungukia pale paleTatizo lako tuusan huwa unaangalia jambo kwa kigezo kimoja kisha unachora conclusion,
Misri ina population kubwa Karibu mara mbili ya kenya na pia uchumi wake ni mara 5 ya kenya
South Africa in population kubwa kuliko kunya ila imeendelea zaidi kuliko kunyaland.
Imayojengwa kwa sasa nu zaidi ya 1000kmMimi naongelea reli iliyojengwa Tanzania Kwa Sasa, Sio reli iliyo mipangoni.
Unataka kusema Tanzania imeizidi hii nchi kiuchumi?Kwa hivyo unamaanisha kwamba leo hata Uganda inawazidi kiuchumi? Mbona mibongo mnapenda ubishi? GDP ya North Korea ni $28.5b. So kati ya Tanzania na North Korea ni nchi gani iko na uchumi kubwa?
Moro makutopora ni 422km 77% completeInauojengwa kwa sasa ni
1. Dar Moro 200km 98%
2.Moro makutupora 280km 60%
3. Isaka - mwanza 300km 5%
4. Makutupora- Tabora (Signed)
Any questions ???
Thibitisha otherwise
Unataka kusema Tanzania imeizidi hii nchi kiuchumi?
Are you guys sane?
View attachment 2063645View attachment 2063646View attachment 2063647View attachment 2063648View attachment 2063649View attachment 2063650View attachment 2063651View attachment 2063652
😅😅😅Mimi naongelea reli iliyojengwa Tanzania Kwa Sasa, Sio reli iliyo mipangoni.
🤣🤣🤣🤣Naongelea vitu vilivyokamilika bwana.
North Korea inazidi nchi nyingi za ulaya ni siasa chafu za marekani ndio zinatengeneza propaganda chafu dhidi ya Pyongyang, cha kushangaza hawa jamaa wana 5$ billion external debt only, maana yake miundombinu yote, technology na maendeleo wamejiletea wenyewe kwa nguvu na uwezo wao binafsi lakini IMF inakuambia Uganda imeipita mbali sana North Korea kiuchumi 🤣🤣🤣🤣Wanazinguliwa na Jina na Wanayolishwa na wazungu wao, North Korea inakimbiza nchi kibao pamoja na ma negative yote kuhusu wao.
Unataka kusema Tanzania imeizidi hii nchi kiuchumi?
Are you guys sane?
View attachment 2063645View attachment 2063646View attachment 2063647View attachment 2063648View attachment 2063649View attachment 2063650View attachment 2063651View attachment 2063652
Sio Uganda tu, kwani hiyo kenya yenyewe inamshinda nini DPRK? 😂😂😂😂,GDP ya DPRK si ndogo kuliko GDP ya Nairobi?North Korea inazidi nchi nyingi za ulaya ni siasa chafu za marekani ndio zinatengeneza propaganda chafu dhidi ya Pyongyang, cha kushangaza hawa jamaa wana 5$ billion external debt only, maana yake miundombinu yote, technology na maendeleo wamejiletea wenyewe kwa nguvu na uwezo wao binafsi lakini IMF inakuambia Uganda imeipita mbali sana North Korea kiuchumi 🤣🤣🤣🤣