chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,675
- 45,907
Na wewe kwa akili yako hizo number ndio uchumi? 🚮🚮🚮🚮Kenya GDP $106B VS Tz GDP $65B the difference is $41B Hii pekee inatoa picha tunayo kazi ya kufanya watz. Tukope tumalize miradi ya kimkakati labda inaweza badili hali ya uchumi kwa siku zijazo...let's hope tunaweza close gape apo baadae ...
Naona uwekezaji ukipaa sambamba na utalii...sijui kama inaweza punguza gap kwa kiasi gani