Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3 years ago gani na hata haikua imeanza kazi. Nionyeshe ikiwa kazi 2019 nifunge account. 😂😂😂
hii hapa haya funga acc ukapake mafuta chupa ya fanta au mirinda nyeusi 😂😂

BF0B68E8-39AD-4E3F-884A-8020D5D2C241.jpeg

488CC738-8DC3-4E9B-AFDF-D8D24CEBFEBA.jpeg
 
Zamani kwa akili zangu za kitoto niliamini kujua kingereza ni mojawapo ya dalili kua una uwezo mkubwa wa akili. Ila nikiwa mdogo hivyo hivyo nilikuja kugundua kua hata England kuna machizi na wagonjwa wa akili wanaoongea kingereza vizuri kuzidi Lecturer wangu ila ni wagonjwa wa akili.

Tafadhali wakenya hebu leteni hoja nzito. Hivyo vingereza unavyoviongea haimaanishi ndio mnaongea points sana. Utumwa wa wazungu naona nyie uliwakolea zaidi bado mnawaabudu wazungu na mila zao.. si vibaya sana maana hio kingereza hata sisi wa Rwanda tunaelewa pia ila muongee point zakueleweka kama nimesikia mtu hapa analinganisha ile matatu ya KE na DART TZ hamko serious

Naona kama mmeishiwa vyakuongea labda tuongelee venye mademu wa KE wako na big forehead na vile wamekomaa vimiguu. Kuna mademu wa KE nilisoma nao Stellenbosch University lakini sikupata hata tabu kuwatambua nikakaita kamoja keusi flani hivi na meno imeachana achana nikakaa kwa swahili "hey wewe ni mrembo sana unatokea Kenya" kakacheka kakasema "umejuaje mimi ni m'KE" ilikua imebaki kidogo niseme ni hivyo vimuguu vyako na hio komwe ya mwendokasi
Watakupa uraia wa Tanzania we subiri uone mkuu, Watz oneni mtoto wa Kagame anavyowapa dozi hawa mbwa
 
Kumbe nyie jamaa ni Roho mbaya na kujikweza hata kwenye ukweli uliowazi mko tayari kuupinga wapumbavu nyinyi .. ona ilulivyobishia ukweli 👇
The guy don`t even know if there is someone by the name Nyerere. He documented all the important people that he met on his way to starting the The Kwanzaa Festival and Nyerere is nowhere to be seen.
Halafu jamaa wenyewe wanasema idea waliipata wapi 👇
Screenshot_20211228-205335_1.jpg
mtaacha lini Roho mbaya na kujitia umuhimu kwenye hakuna.?
 
watu wanamaisha magumu hawa kuliko kunguni 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom