Mzee Tonny hapa ulitudanganya, kwanza nyinyi hamzalishi 3,000 MW, kiasi mnazalisha ni less than 2300 na only 70% ndio ni gvmnt owned na mko na ndoto ifikapo 2025 muongeze 1700 MW . Tukijumlisha hapo ni ukifika 2025 mtakua na 4k MW .. while in Tz currently tunazalisha 1909 MW [emoji116]
View attachment 2060886hapa bado hatujaingiza zile 300 MW zetu za Rusumo hidro power, and soon tunazindua 2115 MW .. kuna kinyerezi 3&4 .. kwahyo sisi tunazungumzia 5k-6k MW.. kumbuka hizi MW zote ni gvmnt owned mzee.. kwahyo kuhusu masuala ya umeme nyinyi ni wadogo zetu.. league yenu Uganda