Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mama kasema atakopa haogopi maneno ya eti tunakopa sana.. nimependa hio .. ila mikopo iende kufanya kazi kweli.. sio kuingia mifukoni mwa wanasiasa kama huko kenya
Ameshakua na confidence,azingatie aliyosema
 
Endeleeni kujiaibisha 😂😂😂😂😂

View attachment 2060653
From this screenshot I can confidently say that Nyerere copied the idea of Maulana Karenga. His Kwanza phylosophy was published in 1966 lakini yenu mmefanya one year later after ya Maulana ishakuwa famous. Thanks for this information, I didn`t Nyerere alikuwa copycat🤣🤣🤣
 
mama kasema atakopa haogopi maneno ya eti tunakopa sana.. nimependa hio .. ila mikopo iende kufanya kazi kweli.. sio kuingia mifukoni mwa wanasiasa kama huko kenya
So leo tena mnapenda mikopo? Kenya ikikopa ni mbaya lakini nyinyi mkikiopa ni furaha🤣🤣
 
Definition ya nchi fukara hii hapa., Speaker kama baba Levo anaijua nchi vizuri, ni fukara, haliwezi kulipa madeni anaogopa wasipigwe mnada.., Tanzania ni kama taifa lililo laaniwa hivi!, nchi hafifu na goigoi, raiya wake ni Domo domo tu pale vijiweni😂😂😂😂😂.,
 
Wamezoea kupewa za bure.
 
😆😆😆😆😆😆

Screenshot_2021-12-28-16-59-34-55_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
From this screenshot I can confidently say that Nyerere copied the idea of Maulana Karenga. His Kwanza phylosophy was published in 1966 lakini yenu mmefanya one year later after ya Maulana ishakuwa famous. Thanks for this information, I didn`t Nyerere alikuwa copycat🤣🤣🤣
Akiwa na miaka 18 eti? 😂😂😂
Unazidi kuonesha uzezeta wako kama wa founder wako 😂😂😂

Screenshot_20211228-170327.png
 
sasa umekasirika mm kusema ukweli 🤣🤣
Nimeongea ukweli kabisa, ona sasa😂😂😂😂, jibu zero😂😂😂😂😂., nothing from south.., Kiswahili tu😂😂😂👏👏👏👏💯👍👍.,
#25yrs.
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Zamani kwa akili zangu za kitoto niliamini kujua kingereza ni mojawapo ya dalili kua una uwezo mkubwa wa akili. Ila nikiwa mdogo hivyo hivyo nilikuja kugundua kua hata England kuna machizi na wagonjwa wa akili wanaoongea kingereza vizuri kuzidi Lecturer wangu ila ni wagonjwa wa akili.

Tafadhali wakenya hebu leteni hoja nzito. Hivyo vingereza unavyoviongea haimaanishi ndio mnaongea points sana. Utumwa wa wazungu naona nyie uliwakolea zaidi bado mnawaabudu wazungu na mila zao.. si vibaya sana maana hio kingereza hata sisi wa Rwanda tunaelewa pia ila muongee point zakueleweka kama nimesikia mtu hapa analinganisha ile matatu ya KE na DART TZ hamko serious😂

Naona kama mmeishiwa vyakuongea labda tuongelee venye mademu wa KE wako na big forehead na vile wamekomaa vimiguu. Kuna mademu wa KE nilisoma nao Stellenbosch University lakini sikupata hata tabu kuwatambua nikakaita kamoja keusi flani hivi na meno imeachana achana nikakaa kwa swahili "hey wewe ni mrembo sana unatokea Kenya" kakacheka kakasema "umejuaje mimi ni m'KE" ilikua imebaki kidogo niseme ni hivyo vimuguu vyako na hio komwe ya mwendokasi😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom