Gwakagwaka
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 525
- 1,424
Wenye njaa ndio mnatamani sukuma wiki.Hahahhahaaaaa wa TZ wamepa hoja mpaka unatumia matusi pole.. Punguza hasira kula sukuma wiki sana nasikia inapunguza makasiriko yasio na sababu.
Upumbavu sio matusi jifunze kiswahili.
Wapumbavu ni wale waliokosa chakula wakapewa bia kupunguza njaa, alafu wakapigana kugombea bia ili wasife kwa njaa.



