Sawa heri... mchina na kichina chake..amepiga hatua.. nyinyi na uswahili wenu ni umaskini tu na uvivu...Acha ushamba kujua kizungu ndio kuwa juu,mchina anayewamaliza anajua kizungu?
Sawa heri... mchina na kichina chake..amepiga hatua.. nyinyi na uswahili wenu ni umaskini tu na uvivu...Acha ushamba kujua kizungu ndio kuwa juu,mchina anayewamaliza anajua kizungu?
🤣🤣🤣🤣Sawa heri... mchina na kichina chake..amepiga hatua.. nyinyi na uswahili wenu ni umaskini tu na uvivu...
Walituiga, Uhuru alikuwa anapiga chabo kwa Magufuli, kila alichofanya Magu basi uhuru naye alifanya, baadaye akaanza kujiingiza kwenye kazi asisoweza za kupambana na ufisadi wkt yeye ndiye fisadi namba moja pale KunyalandMmeamua kuunda meli baada ya kuona sisi tunafanya hivyo pale Mwanza?






Onesha meli mliyowahi kuunda ili niondoke jamii forums asubuhi hii.Mtaacha lini ujinga? Kenya imeanza kuunda meli hata before uzaliwe, nenda ukaulize watu wa TPA watakupea jibu.
Ile siku reputable organization itasema Kenya ina produce japo 2000MW ndio siku naachana na hii battleUongo . Wewe na ichoboy01 wacheni uongo. Kenya sasa hivi inaproduce 3,000 MW. Uganda inaproduce 1,500 MW. Total Uganda na Kenya tunaproduce 4,500 MW. Tanzania baada ya kuzindua JNHPP itakuwa inaproduce 3,700 MW.








Unajua we mbishi Sana! Sio kila kitu Una kijua! Unajua sababu ghan brt ili burst into flames? Na mara ngap ilitokea?Matatu is much safer than your BRT, how many times have you had that Nairobi matatu has got an accident as compared to your BRT? How many times have you seen a Nairobi matatu bust into flames the way your BRT does on a regular basis?
Nenda ukaulize TPA.Onesha meli mliyowahi kuunda ili niondoke jamii forums asubuhi hii.
You are now giving out excuses🤣🤣🤣🤣Unajua we mbishi Sana! Sio kila kitu Una kijua! Unajua sababu ghan brt ili burst into flames? Na mara ngap ilitokea?
Accidents zimefanyika mara ngap? Wangap waliumia? Brt Iko na emergency windows doors ambazo ni kubwa! Matatu Iko na emergency doors?
Unakumbuka issue ya grenade Kwa matatu ya Nairobi?
This is a burge you fool😂😂
Mliwahi tengeneza nini sasa. Kama mifuko ya kunyea mnaletewa toka nje!This is a burge you fool😂😂
Then
ujinga tupu. Those are two different streets you fool.