Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lwiva. mataa kusini tanzania sio mwangaza wa stima, bali Nathani ni forest fires kama ile ya australia. hebu confirm tena kwenye google earth uone kama hizo mataa bado vimo? NGOO!
Fanya wewe hiyo kazi, hizo taa zipo tz hakuna moto umetokea hayo maeneo bora ungesingizia editkuliko moto hayo maeneo ni baridi sana ni maeneo ya kilimo hadi mvua ya barafu kunawakati zinanyesha
 
Chanzo chako cha taarifa ni kipi?maana mimi hupitia taarifa za WB, IMF Na BOT hatujawahi kifikia GDP ya $65B kwa miaka mitano iliopita...iyo tumeifikia mwaka huu ambapo ilikadiriwa $67b kabla ya uviko...yani unataka tuwe na GDP ya $100b kwa lipi serikali imeshindwa hata kuongeza mishahara kwa miaka 6 sasa na bado tunakopa hadi hela za kujenga madarasa na x-rays machine...
Awamu ya tano ilipoamua kujenga sgr ikijua kabisa %kubwa ya mizigo inasafirishwa na barabara na nyingi bado ziko vibaya hapo ndio ujiulize iyo impact ya ku shoot GDP itatikeaje ghafla ivyo na sgr bado haijaanza kazi...vivyo hivyo JNHED Hadi ianze kazi ndio GDP yaweza panda zaidi
watanzania kama tuusan, mdazi, na opportunity cost ndio watanzania original shupavu, wasio abudu na ku sifu serekali ovyo ovyo. serekali sio mungu wa kuabudiwa jameni.... serekali iko pale kukosolewa. nikama punda unafaa kuikaza kwa kuipiga viboko ndio infanye kazi zaidi
 
Hadi june 2021 barabara kiwango cha lami ni 13,643.45km Tanzania....Yani kwa mwaka serikali imeweza kujenga 599.45km kwa kiwango cha lami....inahitajika bidii zaidi ikiwezekana wadouble walau 1000km kwa mwaka....Mimi suala la barabara nalipa uzito sana maana ndio njia kubwa ya usafirishaji bidhaa na watu
Screenshot_20211223-093638_Drive.jpg
 
Hadi june 2021 barabara kiwango cha lami ni 13,643.45km Tanzania....Yani kwa mwaka serikali imeweza kujenga 599.45km kwa kiwango cha lami....inahitajika bidii zaidi ikiwezekana wadouble walau 1000km kwa mwaka....Mimi suala la barabara nalipa uzito sana maana ndio njia kubwa ya usafirishaji bidhaa na watuView attachment 2056085
Nikweli barabara ya lami za hali ya juu na zakisasa zinatakiwa zijengwe mara mbili ya tunazo jenga sasa ,ila hofu ni huju mjambiani mpumbavu anaye chezea kinyesi cha wahuni kwa kuwafanyw marafiki ,mfano kuna bedui anaitwa bulembo huyo ni uchafu wa hali yajuu kabisa ,anajipendekeza kwa mama ili kutengeneza fulsa za uchafu
 
watanzania kama tuusan, mdazi, na opportunity cost ndio watanzania original shupavu, wasio abudu na ku sifu serekali ovyo ovyo. serekali sio mungu wa kuabudiwa jameni.... serekali nikama punda unafaa kuikaza kwa kuipiga viboko ndio infanye kazi zaidi
Ninyi ni yupi kati yenu nyote mliomo humu ameshawahi kukosoa uozo wa serikali yenu kiasi mnakufa njaa na mnaagiza mpaka mchicha kutoka Tanzania huku wakenya wengi wakiwa hawana kazi na fukara?

Yupi alishakosoa ufisadi, madeni, wizi, fake data za serikali yenu?
 
Back
Top Bottom