Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Ila we jamaa sidhani kama Unaakili timamu, nilicholinganisha kwenye picha ni terminus sio run way wala chochote mzee and in that case JNIA is better than your Old JKIA, isn't it.?Yani sasa umejibu?., ulisoma nilicho andika ama pia na wewe umekurupuka tu ovyo ovyo? unatazama muonekano ama unafafanua neno kisasa? ๐ ๐ ., JKIA sio league yenu dogo.., Tz terminal zote ndani ya godown ndio unaanika hapa vipicha kwa angles za kupendeza kisha unapiga kifua๐ ๐ ๐ ., aiport moja tu., unajua ata umbali wa terminals za JKIA ziko vipi?, pili, ume post tu kiwanja cha mpira kasarani., wapi aquatic stadium? indoor arena? yaani unaokota vipicha utumie kueneza fikra zako za kipropaganda, unajitekenya na kucheka ๐ ๐ ngojeni 25 years.., Standard guage rail supports high speed train.., bado haukuelewa..,niondolee your ignorance dogo, it is infectious! ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Nimekuwekea high speed rail roads za tz ambazo ziko na umeme kabisa while nikakuwekea SGR yenu na kutokana na umeme treni zetu zitakimbia high speed zaidi kuliko zakwenu.. 120-160 km/h .. je tz hatuchukui kwenye hili pia.?
Nikashindanisha football stadiums, kasarani yenye watu wanakaa kwa concrete vs Mkapa yenye sitting capacity ya Watu 60k wanaokaa kwa viti, ambapo kuanzia ubora, ukubwa n.k.. ni dharau kubwa sana kutaka kulinganisha Mkapa stadium na huo uchafu wa kuitwa kasarani..
Hata hivyo nilizungumzia suala la indoor Arena, nikasema tz hatuna indoor Arena kubwa kama yenu..
Huu ndio ukweli unaonekana wazi, ajabu ya mpuuzi wewe wa kikenya ni kutaka kujifanya eti unalazimisha kijani kuwa njano ๐๐๐๐๐๐๐


