Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sio ushamba hzo nchi unazotaja wanajenga wenywe na hzo toll zinaajiri watu wao na kodi zinaneda kwenye serekali zao

kenya ndio nchi pekee ajira za toll zote zitaenda kwa wachina na pesa zote za toll zitaenda kwa wachina kwa miaka 30 😂😂😂

unaposema america au europe nchi zao zinajenga kwa pesa zao na kodi zinaenda kwa nchi zao wenyewe pamoja na ajira
Usiongee usichojua. Hizo kodi kwenye hizo nchi zinakusanywa na kampuni za kibinafsi zilizojenga miundo mbinu hizo na kodi hizo zinaenda kwenye kampuni hizo za kibinafsi. Soma zaidi au tembea zaidi utaona ninachosema.
 
never ever majengo huku ni mengi kiasi kwamba dar alone ina density kubwa ukusanye nairobi+ mombasa + kisumu combined ndio mutafkia nusu yake 🤣🤣🤣
ichoboy unanishinda sana. tuta post hii picha mara ngapi ndio upate kuamini nbi ni kubwa kiasi. ata nimechoka
Screenshot_20211223-182247.png
 
Rudi darasani hapa 👇 👇 👇 soma uelewe., fuatanisha mwenzako alitaka nini., fikra za kijingajinga niondolee., kukosa uelewa🤣🤣🤣🤣🤣, mnatia huruma.., watu wa vipicha, hakuna tofauti kati yako na yule mtangazaji alie kua anajibizana na baba levo.., eti mataa yaliwaka kwa bridge.., raaaa! reasoning iko nje, yaani wapi na wapi! idiots🤣🤣🤣🤣😂😂

1. Wacha nikutoe ushamba; any standard gauge rail system can handle high speed trains., up to 350km/h or more.., SGR sio train, ni rail nyambaff., wacha nitumie lugha ya chekechea; kwa mfano, Expressway ama superhighway sio gari ni barabara., mtu anaweza kununua ferari na mwingine akanunua probox, yote yanapita kwa same road speed tofauti., so electric train ni a mere powering system ya train na kuna yenye is powered by diesel na inaweza kukua upgraded anytime ukipenda, sio kitu cha ajabu, nikama mimi ninunue electric Honda C., na mwingine anunue ya petrol, zote zinatumia njia moja tu.., alafu stations zenu ni ugly though, hapo mlichemsha 😂 😂

2. BRT is a road system with designated lanes solely for rapid buses just for uninterrupted seamless flow., it's just a type of road infrastructure, Nairobi is creating such lanes along Thika road and some will be along Mombasa road and Lang'ata road., hakuna cha ajabu pia., zero reasoning 😂 😂 😂 hapa Dar 10 Nairobi 6.., (kwa vile mko na running BRT), though coverage ni small in comparison na size ya mji., mko na mwendo.,

3. Eti uwanja wa kisasa, Nairobi ilijenga stadium ya 60,000 seating capacity 1986, na ujue ni a sports complex, Dar ni kiwanja tu ya mpira na pengine riadha, Nairobi ni sports complex, with aquatic stadium na indoor games arena., hapa nasema Nairobi 10 Dar 5.., (Dar has just a single sporting facility), Nairobi has a sports complex na Nyayo stadium 😂 😂 😂 😂

4. Airport ya kisasa eti, unajau maana ya neno kisasa? ama ulikua unamaanisha muonekano? yaani hiyo godown yenu unaita ya kisasa eti? 😂 😂 , "umekufa wewe!"., (kwa maneno ya Levo, baada ya kufika JKIA).., Haya Nairobi has three airports, Moi Airbase, Wilson Airport na JKIA, Dar moja.., so nasema Nairobi 10 Dar 5.., wacheni kujitekenya kisha mnacheka wenyewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Well said
 
Utaendelea kulia wakati wakenya wanaenjoy the beauty and efficiency of the expressway. Alafu uje tuongee after Tanzania imepata hata 500 meters of elevated road🤣🤣
munaenjoy kulipia ushuru wa kupita kwenye expressway alaf munaona wachina wameshika ajira zenu 🤣🤣🤣 kwa miaka 30 na hamuna chakuwafanya
 
Back
Top Bottom