watu wote wa density, mombasa ndio fimbo yenu... afteral they are both at the kiswahili coast and they were both built at the same time using the same kiswahili design concept, hence are look alikeNi povu sasa naona kwa wingi, ukwelib wasio penda kusikia ama kuona inawatesaga sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
fimbo ya wapi?? au fimbo ya matumaini baada ya nairobi kula kibano 😂😂😂watu wote wa density, mombasa ndio fimbo yenu... afteral they are both at the kiswahili coast and they were both built at the same time using the same kiswahili design concept, hence are look alike
Density za dar huwezi maliza
We jamaa unanichekeshaga tabia ya kuji quote mwenyew 😂😂😂 hivi unajua lakini hizi picha za engo zote zinazo zungumziwa Mombasa Hii👇😂😂😂watu wote wa density, mombasa ndio fimbo yenu... afteral they are both at the kiswahili coast and they were both built at the same time using the same kiswahili design concept, hence are look alike
Nenda kamsikize diamond akingangana na kizungu ndio ujue mko chiniPunguza gum msela🤣🤣🤣🤣🤣
Ila mna vuna chumvi🤣🤣🤣🤣🤣hivi akili zimo au?kuongea kingereza ndo nini? Umeskia bongo watu hawajui kizungu? Mchina anaongea kizungu? Kuwa mkunya ina hitaji moyo ukweli mnapenda sifa za kijinga.
Eti hana tamaaa...hebu nenda gikombaa ujionee wachagaa wanavyo hemea hela....Labda nikunyooshe Mbongo anajulikana popote anapoenda sababu ndo hizi-
1.Ni mstaarabu Sana
2.ana moyo wa huruma
3.ni mchangamfuu ana tabasam anapoongea
3.hana tamaa anaridhika hana tabia za janjajanja
4.mbongo ni msafi😃
game zipi bichi kidimbwi? yote aliyasemea hukohuko kwenu kwa vipindi za redioni za kwenu huko....alikuja akaduwaaaaaaaaaaa nairobi.....miaka ishirini na tano ndio mtukaribie....najua hata nyinyi vijilima wengine sahii mnatamani mje mjithibithishiekuzubaa, mmezubaa nyinyi, mpaka mnaingizwa mjini na wachina kwenye ujenzi wa barabara.
FYI, baba Levo was running game on your ass.
nini mbaya na hili picha. sioni dosari yoyote ileWe jamaa unanichekeshaga tabia ya kuji quote mwenyew 😂😂😂 hivi unajua lakini hizi picha za engo zote zinazo zungumziwa Mombasa Hii👇😂😂😂View attachment 2053257
Utaonaje na umefumba macho.?nini mbaya na hili picha. sioni dosari yoyote ile
Lol......it's clear you have no clue of Mombasa......Ukiona flats za Bamburi ,shanzu na Mtwapa si utaziraiWe jamaa unanichekeshaga tabia ya kuji quote mwenyewhivi unajua lakini hizi picha za engo zote zinazo zungumziwa Mombasa Hii
View attachment 2053257
Mombasa is more developed.......than darnini mbaya na hili picha. sioni dosari yoyote ile
We jamaa unanichekeshaga tabia ya kuji quote mwenyew 😂😂😂 hivi unajua lakini hizi picha za engo zote zinazo zungumziwa Mombasa Hii👇😂😂😂View attachment 2053257
Very true, on average Dar iko down, ukitoa CBD kwingine ni uharo, nothing meaningful, Mombasa inainyorosha mchana peupe 😂 😂 😂Mombasa is more developed.......than dar
Hii Kericho pia itakua ni city kule Tanzania 😂 😂 😂 😂 😂
huko anything that looks like a town is a cityHii Kericho pia itakua ni city kule Tanzania 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2053316
@Tony254Kuna siku nilikuwa Nairobi, nikaita uber kuelekea Airport, ikaja na dereva alikuwa dada mmoja, akanisalimia vizuri then baada ya kuketi kwenye gari, akaniuliza kwa Kiingereza chao chenye accent mbovu, you don’t look Kenyan, where do you come from? Nikamjibu kwa kiswahili, unahisi unaweza pata wapi accent nzuri kama hii ya Kiingereza na Kiswahili……?? Akacheka sana, kumbe wewe ni mTZ? Unatoka where all of our foods come from? Nikamwambia kwa utani “naam, na siku mkituletea za kuleta mtakuwa hamli hapa” huu utani ukamuingia alafu akaanza kufunguka namna Kenya imeoza na jinsi ambavyo land yao kidogo yenye rutuba badala ya kuzalisha chakula inazalisha maua na makorolokolo mengine ikiwaacha wakenya kibao na njaa sababu pia inamilikiwa na watu wachache.
Kiukweli niliwaonea sana huruma Wakenya hasa yule dada alivyoongea kwa uchungu, kidogo tu nimlipie nauli nimlete Bongo sababu alikuwa kaishakubali kuja kufanya hustles zake huku kama nikim-guarantee makazi ya muda na pa kuanzia. Tatizo hakuwa mzuri sana na haya mambo ya hisani wabongo tuliishaachana nayo baada ya ukombozi wa Afrika…….Wakenya wako desperate sana aisee.