Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mcongo akae mkao wa kuhudumiwa

Teargas 🤣🤣👇👇👇
 
FB_IMG_16402907315450426.jpeg
 

ichoboy01 aki Mr. Wivu woiyee kuja uone rais wetu akiweka girder la mwisho la Nairobi expressway viaduct. Yaani kwa kiswahili kwa Malazy wasioelewa kiingereza ni kwamba rais Kenyatta leo ameweka nguzo ya mwisho inayounganisha barabara ya juu ya Nairobi Expressway. Barabara imefikia 93% completion rate.
How much GoK contributed to this project?
 
Wacha ushamba mzee. Nchi zote first world zina toll roads. Kama hujui basi nimekufunza kitu hapo. Huwezi kutegemea serikali ijenge barabara zote nchini. Lazima private sector ihusike kujenga barabara na ports na airports na powerplants na railways. Kwanza Marekani wanapenda sana hii PPP model. Nchi yoyote ya kikapitolisti lazima ihusishe private sector katika ujenzi wa miundo mbinu.
Toll roads haina maana ni privately owned, hata Tanzania tuna toll bridge pale Kigamboni lakini waliotoa pesa ni NSSF, ambayo bado ni serikali, pesa inayokusanywa inabaki serikalini kujenga uchumi, haziendi China kujenga uchumi wa China. Kenya hamna akili.
 
Utaendelea kulia wakati wakenya wanaenjoy the beauty and efficiency of the expressway. Alafu uje tuongee after Tanzania imepata hata 500 meters of elevated road
Mtaendelea kufurahia wakati China inakusanya pesa yenu yote na kuwaacha na njaa, unemployment, debts and weak Economy
 
Usiongee usichojua. Hizo kodi kwenye hizo nchi zinakusanywa na kampuni za kibinafsi zilizojenga miundo mbinu hizo na kodi hizo zinaenda kwenye kampuni hizo za kibinafsi. Soma zaidi au tembea zaidi utaona ninachosema.
Wacha uongo
 
kampuni binafsi za nchi zao sio za nchi zingine mark my words 😂😂😂 hamuna hata pesa ya kujenga reli km 5 imagine
Nyie barabara zenu zinajengwa na kampuni zenu au kampuni za Kichina? Wacha unafiki, unakashifu Kenya kwa kutegemea kampuni za kichina ilhali nyie mnafanya vivyo hivyo.
 
How much GoK contributed to this project?
Akili za kijamaa hizi. Wewe ujamaa umekufanya ukafikiria kwamba barabara lazima ijengwe na kumilikiwa na serikali. Nenda tembea Marekani au soma nakala za Marekani uone jinsi baadhi ya barabara zao zinajengwa na kumilikiwa na kampuni za kibinafsi kwa muda fulani kupitia mfumo wa PPP. Hata Italy mambo ni vivyo hivyo. Sio kila mtu ana mawazo ya kijamaa kwamba serikali ndio lazima ihusike kwenye kila kitu. Bado mawazo yenu ni ya kicomunisti tu, kutegemea serikali ifanye kila kitu halafu unacheka wengine wanaotumia mfumo wa kikapitolisti. Kinachoshangaza ni kuwa nchi zote tajiri duniani zinatumia mfumo huu wa kapitolisti. Kwa hivyo wewe na ichoboy01 baki hapo mkicheka mfumo wa kikapitolisti ilhali ujamaa ni mfumo unaokoleza umasikini. Hakuna nchi hata moja ya kijamaa ambayo ni tajiri yaani first world. Angalia North Korea na South Korea utanielewa, watu wamoja lugha moja ila mifumo tofauti kinachofuatia ni kuwa North Korea inakuwa na Gni per capita ya $700 ilhali South Korea inakuwa na Gni per capita ya $37,000.
 
Nachoikona, Kenya ina magari ya zamani, yaliyochoka, kulinganisha na Tanzania.

Pia katikati ya mji kuna malori ya kubeba nyanya lakini washamba hawa wanabebea watu.
for your information, all vehicles in nairobi streets are brand new. all imported cars to kenya are less than 5years old.! umesikia!
Company-and-Business-Buildings-in-Nairobi.jpg
Screenshot_20211224-015450.png
20201017-+BOXRAFT-Motorists+on+a+Colossal+Traffic+Jam+Along+Busy+Uhuru+Highway+in+Nairobi.+Thi...jpg
 
Back
Top Bottom