Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So Sisi Kenya huwa tunaongea kizungu to communicate with other tribes? Nkt! You sick.. what I ment Ni it was not done the official trading language Hadi Shule wanafunzi kufunzwa nayo and you Tanzanians think you speak good Swahili wakati 59% imeathiriwa Na lugha zenyu za mama Most Tanzanians can't say Li they say Ri nkt
Baba acha kujichanganya, kiswahili ni lugha ya Tz na ndio mana kila mtoto anaezaliwa Tanzania hahitaji hata darasa moja ili kujua kiswahili, anajua tu moja kwa moja tena kiswahili kilichonyooka (shule tunaenda kujifunza kusoma na kuandika na ujuzi wa lugha kwa upana wake), yani kiswahili inakua ni first language yetu since raia wote kitaa are speaking swahili, hizo athari za mother tongue mostly ni kwa baadhi ya watu na kwenye baadhi ya makabila (tribes). Na hiyo 59% yako umeropoka ni uongo, . Unaweza kukutana na mtanzania hajasoma hata darasa moja lakini wewe mkenya ulienda Darasani kusoma madarasa kibao kwaajili ya kiswahili na itakubidi uwe na kamusi pembeni ili kuelewa every single word he/she uttering
 
Hahahaha, Kigiriama hakifanani kabisa na Kiswahili, kidogo kiduruma na kidogo kwa mbali Sana ndio vinafanana na Kiswahili, lakini ukija huku Tanzania, Unguja na Pemba hawana lugha zao za asili zaidi ya Kiswahili, kwa upande wa Tanzania bara, wasegeju, wadoe, wakwere na wazaramo, lugha zao 40% ni Kiswahili. Kiswahili ni lugha ya Tanzania, wachana na hao wakenya wanaoandika ktk Wikipedia, dunia nzima inajua Kiswahili ni lugha ya Tanzania.
Eti mkunya anajipiga kifua kuwa Kiswahili ni cha kwao tunaelekea pabaya kwa kweli🙄🙄🙄🙄
 
Wewe akili hauna tulidanganywa vipi wakati sgr ilikuwa tujenge kama ya kenya isiyo ya umeme ila magufuli kajenga ya umeme tena akiwa kasusiwa na mabeberu kaamisha serikali kwenda dodoma ndani ya muda mfupi kitu kilicho washinda maraisi wengi ,wakati wa magufuli tulikuwa tunaona kwa macho kila kitu usitudanganye barabara ya njia 8 imekwama baada ya mama kuwa raisi ,huu mwaka usinge isha kabla ya sgr kuanza kazi kama raisi angekuwa magufuli
Iko wapi aliyojenga?
 
Hii Govt ni incompetent mkuu, inakwenda kufeli ktk kila jambo, mambo mengine madogo madogo tu na haiwezi kufanya, wkt mwingine inakurupuka kufanya maamuzi wkt inajua fika imejaza incompetent leaders, inavunjia watu vibanda na haijawatengea maeneo ya kufanyia biashara matokeo yake watu wanajenga tena mavibanda yale yale maeneo yale yale na hawafanywi kitu.

Mpk ss hakuna mradi wowote iliyoahidi na ikafanya, mtasema ndiyo kwanza imeingia lkn nawakumbusha tu inakaribia kumaliza mwaka huku ikijenga madarasa pekee.
Uko Burundi au Tzn hii hii tuliyoko sisi? 😄😄.

Naona kama arobaini bado
 
Wengine wanajua ukweli kabisa miradi inaendelea vizuri na iliyosimama kama Airport ya Mwanza sababu za kasoro ni genuine kabisa ila basi tu ndio hivyo hawajakubali kuwa tuna Rais na Serikali nyingine. Tukitaka tujikumbushe miradi mingapi ilisimama JPM alipoingia madarakani na mingine mpaka leo iko vile vile na mingine ilisuasua mpaka kukamilika. Mfano rahisi ni Terminal 3 kabla ya kuamua kutoa hela baadae, Dege Village….umekufa kabisa, Bagamoyo Port nayo ikapigwa zengwe, Kurasini Logistics Center ulisahulika kabisa mpaka juzi hapa umezinduliwa tena na mingine mingi tu. Tujifunze kufuatilia details na tuwe wakweli, kama kuna kasoro genuine yes tuseme na sio emotions tu.
Ni kuachana nao hao wajinga wanasumbuliwa na sonona ya kufiwa na mume ghafla.
 
UWC East Africa Chuga bebee
FB_IMG_1639957543064.jpg
Efwu_pCXsAAy1-B.jpg
FB_IMG_1639957563298.jpg
 
Big up wabongo wote humu salaam nyingi toka nchi Fulani hivi, kwa kweli Tanzania tunapendwa sio Siri nimehisi kutokwa na machozi kwa uzur tunao julikana nao,kwanza The best 007 ,ichoboy01 ,babayao255 ,NDINDA ,Lusematic ,Geza Ulole ,Mkwanzania ,Tz_one passioner255 Njoga boy ,@Mjombe,Papi Chulo ,Chamoto ,eliakeem ,@Lwiva,mkorinto ,@gwakana etc
Big up na wote ambao sijawataja na Wana fight kuona dizzim na Tanzania Iko juu👏👏👏👏
Sama boy 255 mkuu ahsante kwa kupeperusha bendera yetu!
 
Back
Top Bottom