Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa wanajenga taratibu sana.
Sio hiyo tu mkuu, BRT phase 2, BRT phase 3, Mv Mwanza, Chang'ombe and Uhasibu flyovers, Kigongo Busisi bridge, SGR, JNHPP, Dodoma city, yani kila kitu kipo slow.

This government has accumulated many incompetent leaders for sure.
 
but ofcourse english is the lingua-franca of all the world's leading countries.. USA, england, southafrica, nigeria, australia, canada, malaysia, singapore, india. etc. (its the most sort after language in the world, its the main means of communication globally in, Science and Technology, Engineering, Mathematics, Medicine, Research, Commerce, Education, Music and Art, Int'l Media Houses, Aviation, Space Science, IT, Internet, Google and Facebook, Military, Sports(Worldcup and Olympics). sawa baći nakubali wazungu walitu fu*k.
je na kiswahili nayo!?
Not english it's English.
 
Sio hiyo tu mkuu, BRT phase 2, BRT phase 3, Mv Mwanza, Chang'ombe and Uhasibu flyovers, Kigongo Busisi bridge, SGR, JNHPP, Dodoma city, yani kila kitu kipo slow.

This government has accumulated many incompetent leaders for sure.
Fanya research before kujua reasons vichwa vyetu vinaweza kufikiria uharaka au uslow,upande wa SGR ukweli ni kua siku za nyuma tulikua tunadanganywa wakati uhalisia ulikua tofauti.Huyu mchina wa BRT nadhani Marehemu aliangalia costs lakini ukweli Hana vifaa kulinganisha na Strabarg,SGR inaaenda.Kila mkandarasi hutamani amalixe kazi haraka lakini sometimes uhalisia unagoma.JNHP tuliambiwa 2023 ndio muda wa kuisha mradi.Japo binafsi naona makamba yuko cool kiasi watu kutoelewa ni kitu gani kinaendelea.
 
BRT phase 3 tangu mwaka jana mwezi Nov walitangaza Tender, mpaka leo mwaka mmoja baadae ht kumtangaza tu mkandarasi alieshinda tender imekua tatzo.
Enzi zile ulikua unawaona mawaziri wakipishana kuangalia status za miradi which helped to push miradi, now days wapo kimyaa utadhani sio wao waliokua na mwendazake awamu iliyopita.
SRG kipande cha Mwanza Isaka sijawahi kupata updates zake, kinafanyika kweli?
 
Silly Kenyan.

He is learning to fabricate.

Zoom and look at "12 Replies" you will quickly notice the background doesn't match up with the rest.

Cut, copy, paste and place it.

Silly Kenyan.
Bro just ask for the link don't complicate things it's something that is online you can see it aka! Ujuaji mingi what for?
 
Fanya research before kujua reasons vichwa vyetu vinaweza kufikiria uharaka au uslow,upande wa SGR ukweli ni kua siku za nyuma tulikua tunadanganywa wakati uhalisia ulikua tofauti.Huyu mchina wa BRT nadhani Marehemu aliangalia costs lakini ukweli Hana vifaa kulinganisha na Strabarg,SGR inaaenda.Kila mkandarasi hutamani amalixe kazi haraka lakini sometimes uhalisia unagoma.JNHP tuliambiwa 2023 ndio muda wa kuisha mradi.Japo binafsi naona makamba yuko cool kiasi watu kutoelewa ni kitu gani kinaendelea.
Wewe akili hauna tulidanganywa vipi wakati sgr ilikuwa tujenge kama ya kenya isiyo ya umeme ila magufuli kajenga ya umeme tena akiwa kasusiwa na mabeberu kaamisha serikali kwenda dodoma ndani ya muda mfupi kitu kilicho washinda maraisi wengi ,wakati wa magufuli tulikuwa tunaona kwa macho kila kitu usitudanganye barabara ya njia 8 imekwama baada ya mama kuwa raisi ,huu mwaka usinge isha kabla ya sgr kuanza kazi kama raisi angekuwa magufuli
 
BRT phase 3 tangu mwaka jana mwezi Nov walitangaza Tender, mpaka leo mwaka mmoja baadae ht kumtangaza tu mkandarasi alieshinda tender imekua tatzo.
Enzi zile ulikua unawaona mawaziri wakipishana kuangalia status za miradi which helped to push miradi, now days wapo kimyaa utadhani sio wao waliokua na mwendazake awamu iliyopita.
SRG kipande cha Mwanza Isaka sijawahi kupata updates zake, kinafanyika kweli?
Mafisadi ya kikwete yanatengeneza hati feki za wakandarasi wa michongo hiyo ndiyo sababu
 
Ndio sababu watanzania na Kenya hatuekewani hapa JF, tunatumia Kiswahili (Lugha ya TZ), wakenya hawajui Kiswahili
eti kiwsahili lugha ya Tanzania. Shame on you tangu lini Kiswahili kikawa lugha ya Tanzania? Kadanganye foreigners huko ambao hawaelewi si Sisi wenyeji. waswahili Tanzania wapi Zanzibar Kenya wapo coast Somali wapo Mogadishu, Mozambique wapo Sasa nashidwa kuelewa Kiswahili lugha ya Tanzania kivipi?
 
Sgr imesimama kabisa hakuna chochote anacho sema chenye kutekelezwa huyu mama ni hasara ya miaka 5 tutakayo pitia ,ukweli ni kwamba wanawake hawafai kupewa uongozi nchini
Mmmmh mkuu hapa naomba nipingane na wewe.

SGR ujenzi unaendelea tu vizuri, nilipita Dodoma juzi ujenzi unaendelea vizuri tu na mkandarasi yupo site.

Embu basi tujaribu kupinga na kukosoa kwa kutumia facts.
 
Hahahaha, you can't pay salaries for your employees, can't even be able to complete SGR after Chinese decided not to give you money, Mombasa port is about to be taken by China because you can't pay back their money, Debts to GDP ratio is unbearable
We can't pay salaries??? Are you out of your mind. Kenyan civil servants receive triple Tanzania civil servants... We have a budget to run that actually is waaaay bigger than yours so our money goes there while we use foreigners money's to build our country.. and one thing you should know although ain't going to happen even if it happens China to claim Kenya port it will be an advantage coz am very sure for the Chinese to recover there money they will ensure Mombasa port is very efficient so they will have to improve it leading to better service to the Kenyans who will be using the port and maybe more people from neighbouring countries wanting to use it due to its efficiency.... Bythetime they give it back no matter the number of years it will be a very modern port of that time.... So kizazi cha wakati Huo kitakua Na advantage
 
Yaani umpe mgeni bandari bado utegemee faida kwa taifa lako? Wakenya mnapenda kuandika pumba kwa english. Dumb argument.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Fanya research before kujua reasons vichwa vyetu vinaweza kufikiria uharaka au uslow,upande wa SGR ukweli ni kua siku za nyuma tulikua tunadanganywa wakati uhalisia ulikua tofauti.Huyu mchina wa BRT nadhani Marehemu aliangalia costs lakini ukweli Hana vifaa kulinganisha na Strabarg,SGR inaaenda.Kila mkandarasi hutamani amalixe kazi haraka lakini sometimes uhalisia unagoma.JNHP tuliambiwa 2023 ndio muda wa kuisha mradi.Japo binafsi naona makamba yuko cool kiasi watu kutoelewa ni kitu gani kinaendelea.
Hii Govt ni incompetent mkuu, inakwenda kufeli ktk kila jambo, mambo mengine madogo madogo tu na haiwezi kufanya, wkt mwingine inakurupuka kufanya maamuzi wkt inajua fika imejaza incompetent leaders, inavunjia watu vibanda na haijawatengea maeneo ya kufanyia biashara matokeo yake watu wanajenga tena mavibanda yale yale maeneo yale yale na hawafanywi kitu.

Mpk ss hakuna mradi wowote iliyoahidi na ikafanya, mtasema ndiyo kwanza imeingia lkn nawakumbusha tu inakaribia kumaliza mwaka huku ikijenga madarasa pekee.
 
Mmmmh mkuu hapa naomba nipingane na wewe.

SGR ujenzi unaendelea tu vizuri, nilipita Dodoma juzi ujenzi unaendelea vizuri tu na mkandarasi yupo site.

Embu basi tujaribu kupinga na kukosoa kwa kutumia facts.
SGR nadhani inaenda, na mama nilimsikia akitilia mkazo ujenzi wake, pia apambane JNHPP liishe kwa wakati, hiyo miradi miwili itambeba sana kama itakamilika.
 
eti kiwsahili lugha ya Tanzania. Shame on you tangu lini Kiswahili kikawa lugha ya Tanzania? Kadanganye foreigners huko ambao hawaelewi si Sisi wenyeji. waswahili Tanzania wapi Zanzibar Kenya wapo coast Somali wapo Mogadishu, Mozambique wapo Sasa nashidwa kuelewa Kiswahili lugha ya Tanzania kivipi?
Kiswahili hamjui, speaker wenu hata kusoma tarakimu hajui, yaani hata kusoma kiswahili unaona kabisa hawezi vipi kama angekua anahutubia moja kwa moja bila kusoma?

Back
Top Bottom