Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heb acha uongo mzee hao watu nawajua, African travella nchi aliyofanikiwa kwenda ni Ghana pekee tena kwa ofa ya WODE MAYA (Ghanaian) huyo mwamba ni cheap kwasababu hata content zake zinajieleza zanyewe amekuja tz amesafiri kwa basi mpaka akili zikamkaa sawa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kutoka Dar mpaka Mwanza unafkiri ni mchezo.? Safari ya masaa 18 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ alaf useme yupo vizur .. kupata shavu la kusafiri ni vitu vya kawaida je kama halipii yeye tickets and everything concerning his trips to abroad, we utajuaje.? Quality camera zenyew Hana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. alaf vipi mbona huitetei Kisumu babu.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Inaangamia uku, inaangamizwa na ile mlikua mkiita town Chuga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tunaongelea Marwa hapa, sio wewe wa google, haujatoka nje ya nchi yenu, usijaribu kudharau Marwa, sio size yenu kama vile Kenya sio size ya Tz, mko down bana ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ., hapa ๐Ÿ‘‡ trips zake nchi tofauti, fukara kama wewe hawezi kabisa! I like his style, ana jiweka level ya raiya wa nchi anayo zuru to feel the "shoes", kama tu Sabbatical, wewe naona wivu imekutesa, zoea ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ , (On Kisumu kila kitu kiko wazi, ni kiswahili chenu tu., yaani domo domo kutetea what ain't there, uliweka google earth ukajipiga mguu risasi, game over!)

Akiwa Colombia

Cities in USA

In Tz..

Page yake, see places jamaa amesafiri, dadeki dogo.., ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Tunaongelea Marwa hapa, sio wewe wa google, haujatoka nje ya nchi yenu, usijaribu kudharau Marwa, sio size yenu kama vile Kenya sio size ya Tz, mko down bana ., hapa trips zake nchi tofauti, fukara kama wewe hawezi kabisa! I like his style, ana jiweka level ya raiya wa nchi anayo zuru to feel the "shoes", kama tu Sabbatical, wewe naona wivu imekutesa, zoea , (On Kisumu kila kitu kiko wazi, ni kiswahili chenu tu., yaani domo domo kutetea what ain't there, uliweka google earth ukajipiga mguu risasi, game over!)

Akiwa Colombia

Cities in USA

In Tz..

Page yake, see places jamaa amesafiri, dadeki dogo..,
They don't understand travelling on a budget or being a minimalist. Currently Marwa is in Colombia.......
 
Ni gute.....we know arusha bana mnajisumbua bure
JamiiForums206318357.jpg
 
They don't understand travelling on a budget or being a minimalist. Currently Marwa is in Colombia.......
Hawa wakiona kitu yenye hawana lazima watafute pakuponda, yaani ni wivu, hakuna youtuber kutoka Tanzania yoote ame travel kama Marwa, na kuna wengi, we kill them with facts, wanabaki na excuses uchwara tu, sasa ona mtu anajaribu to compare Arusha to Kisumu! seriously! hawaitambui dala.., google earth imeweka kila kitu clear, Arusha iko na funny residentials pia kama tu Dar., hovyo! hakuna battle, maybe vijimaneno na picha angles tofauti kama the way they do with Dar is slum.., ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Iangalie tu google earth, wachana na vipicha, tazama mji woote., all corners., Tz bado iko down man ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Kwa miji yenu kando ya NAIROBI ilivyo hovyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ utapata aibu vibaya mnoo
 
Hawa wakiona kitu yenye hawana lazima watafute pakuponda, yaani ni wivu, hakuna youtuber kutoka Tanzania yoote ame travel kama Marwa, na kuna wengi, we kill them with facts, wanabaki na excuses uchwara tu, sasa ona mtu anajaribu to compare Arusha to Kisumu! seriously! hawaitambui dala.., google earth imeweka kila kitu clear, Arusha iko na funny residentials pia kama tu Dar., hovyo! hakuna battle, maybe vijimaneno na picha angles tofauti kama the way they do with Dar is slum.., ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ We ni fala sana wewe, ngoja nikuaibishe sasa, yani unataka kubishana na ukweli.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hii ni google Earth na hii ndio Kisumu ๐Ÿ‘‡
Screenshot_20211216-144134.png
Screenshot_20211216-122537_1.jpg
ikiitoa kisumu village center maneno yaliyobaki yote yapo hivi ๐Ÿ‘‡
Screenshot_20211216-144140.png
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ingekua ni kavideo kadogo watu wengecheka sana humu
 
Tunaongelea Marwa hapa, sio wewe wa google, haujatoka nje ya nchi yenu, usijaribu kudharau Marwa, sio size yenu kama vile Kenya sio size ya Tz, mko down bana ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ., hapa ๐Ÿ‘‡ trips zake nchi tofauti, fukara kama wewe hawezi kabisa! I like his style, ana jiweka level ya raiya wa nchi anayo zuru to feel the "shoes", kama tu Sabbatical, wewe naona wivu imekutesa, zoea ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ , (On Kisumu kila kitu kiko wazi, ni kiswahili chenu tu., yaani domo domo kutetea what ain't there, uliweka google earth ukajipiga mguu risasi, game over!)

Akiwa Colombia

Cities in USA

In Tz..

Page yake, see places jamaa amesafiri, dadeki dogo.., ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

Naona tulivyomzungumzia jamaa ukapata gear ya kuingia humu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, ipo hivi tunaenda mpaka kieleweke, je kipoison kinaweza onyesha ushindani hata robo kwa Arusha City
 
Naona tulivyomzungumzia jamaa ukapata gear ya kuingia humu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, ipo hivi tunaenda mpaka kieleweke, je kipoison kinaweza onyesha ushindani hata robo kwa Arusha City
Umeaibika kutokana na kukurupukwa kwako kuhusu Marwa.., Arusha kazi yake nilimaliza kitambo sana.., miji yenu bado sana.., ni visehemu tu, kahoteli hivi., lakini kwa ujumla., mko down no debate.., hazina class on average., Tanzania bado ni maisha ya kishamba ata mijini on average..
1639994496376.png

1639994512642.png
 
Back
Top Bottom