Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiki kipigo ulichotoa baba shikamoo, wakirudi watarudi na adabu…..yaani ufananishe mji wenye daladala za baiskeli na jiji ambalo lilimtoa ‘ushamba’ hadi Rais Clinton? Ngoja miradi yetu iishe baada ya miaka 3-5 watakuwa wanashindanisha kapoison na Shinyanga….. hongera sana Mkuu, umetuheshimisha vilivyo
😂😂😂😂😂 Nasubiri assignment nyingine
 
Arusha.
E3X7wtgXwAUoLqf.jpg
E3X7wteWUAIo2xD.jpg
E3X7wtfX0AgwPNM.jpg
 
Sama boy 255 mkuu ahsante kwa kupeperusha bendera yetu!
Yaani unamuita cheap traveller mwenye amezunguka nchi nyingi mno kuliko any youtuber kutoka TZ., anashinda pia akina African traveler in scope of the countries and cities ame cover, sio New York, Colombia, Barbados, China, SA, etc na pia hii Tz yenu fukara,kwanza tafuta clip alivyo anika Mwanza sehemu ya matajiri, vumbi city 😂 😂 😂 😂 😂, ila yeye halinganishi wala kukejeli, lakini ukweli una anikwa wazi wazi, ni uchungu lakini zoea 😂 😂 😂 😂 , watanzania na domo domo, lazima uingize kiswahili wakati mnafinywa, ameanika ukweli kuhusu Morogoro, sasa pia kuna google earth, hiyo kiswahili chenu itabakia tu kukua lugha, haotobadilisha ukweli 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Heb acha uongo mzee hao watu nawajua, African travella nchi aliyofanikiwa kwenda ni Ghana pekee tena kwa ofa ya WODE MAYA (Ghanaian) huyo mwamba ni cheap kwasababu hata content zake zinajieleza zanyewe amekuja tz amesafiri kwa basi mpaka akili zikamkaa sawa 😂😂😂 kutoka Dar mpaka Mwanza unafkiri ni mchezo.? Safari ya masaa 18 😂😂😂 alaf useme yupo vizur .. kupata shavu la kusafiri ni vitu vya kawaida je kama halipii yeye tickets and everything concerning his trips to abroad, we utajuaje.? Quality camera zenyew Hana 😂😂😂.. alaf vipi mbona huitetei Kisumu babu.? 😂😂Inaangamia uku, inaangamizwa na ile mlikua mkiita town Chuga 😂😂
 
Yaani unamuita cheap traveller mwenye amezunguka nchi nyingi mno kuliko any youtuber kutoka TZ., anashinda pia akina African traveler in scope of the countries and cities ame cover, sio New York, Colombia, Barbados, China, SA, etc na pia hii Tz yenu fukara,kwanza tafuta clip alivyo anika Mwanza sehemu ya matajiri, vumbi city 😂 😂 😂 😂 😂, ila yeye halinganishi wala kukejeli, lakini ukweli una anikwa wazi wazi, ni uchungu lakini zoea 😂 😂 😂 😂 , watanzania na domo domo, lazima uingize kiswahili wakati mnafinywa, ameanika ukweli kuhusu Morogoro, sasa pia kuna google earth, hiyo kiswahili chenu itabakia tu kukua lugha, haotobadilisha ukweli 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
marwa huleta vitu kwa ground...he doesnt sugar coat.....
 
Back
Top Bottom