Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As usual, no evidence just plain and stupid words. If you come to Kenya and hear kigiriama language you will mistake to kiswahili. So there's nowhere the researcher will mention Mozambique tribe just to appease them. Kiswahili is a Kenyan language with arabic loan words. Lamu town is the oldest Swahili civilization👇👇👇View attachment 2050139
Na ukifika Moroni? Unawajua wa Comoros? Umeshawasikia wakizungumza ? Kumbuka Comoros nikama Tanzania! Hamkijui Kiswahili end of story!
 
Ila we jamaa ni kilaza sana kwahyo hii ndio fact yako.? Yani umeenda tu google uka search alafu eti ndio fact 😂😂😂 we ulishawahi kuhudhiria hata darasa moja...? Zipo research kadha wa kadhaa kuhusu kuhusu kiswahili na conclusion ni kwamba kiswahili ni kiunguja .. wasiseme waarabu kumiliki kiswahili useme wewe wa mombasa.? 😂😂😂 Ambae kiswahili kilikufikia baada ya sisi kufanya biashara na merchants wa uko.? Sikiliza mzee kitaaluma nilikaa darasani kusoma kiswahili mpaka advance, yani kuanzia chekechea mpaka form six, mlevi kama wewe nakudharau tu
Mkunya kila kitu kimetokea kwao tuwe tunawaelewa hawa wanapenda sifa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kisumu airport
images (9).jpeg
images (12).jpeg
images (10).jpeg
 
Yaani Rahaaaaaaa.....Alafu niskie punda anajaribu kujilinganisha na Kenya...LANES PLEASE...😎😎😎
Kenya Airways Whitewashes Ethiopian Airlines, Named Africa's Leading Airline 2021

Kenya Airways beats Ethiopian Airlines to be named Africa's leading airline 2021


Kenya opens largest shipyard in sub-Saharan Africa​




Kenya named World’s Leading Safari Destination 2021​



Kenya regains position as region’s biggest economy



BRT stations to be connected to electricity​



 
Still Kenyan language
Hii haina tofauti na michezo ya kitoto ikipita gari wanagimbania lile langu . Yaani Kiswahili kiwe chenu halafu msikijue . Yaani ukunya Hadi mda mwingine nabaki kuwaangalia tu . Yaani iweje kitu kiwe chako halafu haukijui
 
Back
Top Bottom