Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,157
- 29,775
Yes the jab Na universities yes Ina level 5 hospitals and yes Ina stadiumThika ina airport? Ina universities? Ina world class hospitals? Ina stadium?
Mabeberu yaliyo wekeza kenya kwenye utalii ndiyo yanayo toa hizo propaganda kwa kuiofia tz ili waendelee kupata wateja....kwenye utalii na vivutio tz ni nomber moja africa kenya tumewapita kwa zaidi ya 90%
This an African city?


Upo tayari tu battle kwenye universities and colleges tu, between the two territories?Yes the jab Na universities yes Ina level 5 hospitals and yes Ina stadium
So Sisi Kenya huwa tunaongea kizungu to communicate with other tribes? Nkt! You sick.. what I ment Ni it was not done the official trading language Hadi Shule wanafunzi kufunzwa nayo and you Tanzanians think you speak good Swahili wakati 59% imeathiriwa Na lugha zenyu za mama Most Tanzanians can't say Li they say Ri nktKwamba iwe lugha ya Kenya alafu msii adopt, hivi una akili kweli wewe, yani iwe lugha yenu alafu msiijue, Zimbabwe wanaongea kingereza lkn wana lugha yao ya asili, Zambia, Nigeria wote hao wanaongea kingereza lkn wana lugha zao za asili na wanazijua vzr, iweje nyie punda kiswahili kiwe lugha yenu alafu msikijue.
We don't have this unless ulete picha ya kitambo devolution can't allow this shitHizi maelfu kwa maelfu huko Kenya, unataka nikuoneshe?
Yamepoteana
Nawakaribisha Dodoma sababu naona wanaleta dharau

hongera sana Mkuu, umetuheshimisha vilivyo
Kwa picha hizi 🤣🤣👇Kwa hiki kipigo ulichotoa baba shikamoo, wakirudi watarudi na adabu…..yaani ufananishe mji wenye daladala za baiskeli na jiji ambalo lilimtoa ‘ushamba’ hadi Rais Clinton? Ngoja miradi yetu iishe baada ya miaka 3-5 watakuwa wanashindanisha kapoison na Shinyanga…..hongera sana Mkuu, umetuheshimisha vilivyo
![]()
Kwa picha hizi 👇👇👇👇🤣🤣Yamepoteana 😄😄😄😄😄
Nawakaribisha Dodoma sababu naona wanaleta dharau
👏👏👏Safi Sana mkuuYamepoteana 😄😄😄😄😄
Nawakaribisha Dodoma sababu naona wanaleta dharau