Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani umpe mgeni bandari bado utegemee faida kwa taifa lako? Wakenya mnapenda kuandika pumba kwa english. Dumb argument.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
For now Kenya ina collect revenue bandarini lakina Ina Deni. China wakibaki Na Bandari Deni linatupiliwa mbali lakini Kenya haitapokea revenue.... Ila bado wakenya watapata the services of the port... Since China ndo utakua inapikea revenue it's ensure it has improved the port and itakua inapeana efficient services ndipo wapate mapato mengi. .. in the process benefiting mwananchi was kawaida with good port services sijui kama wanielewa
 
Kiswahili hamjui, speaker wenu hata kusoma tarakimu hajui, yaani hata kusoma kiswahili unaona kabisa hawezi vipi kama angekua anahutubia moja kwa moja bila kusoma?

Hata wengi wasipo kijua Haina maana kuwa Ni cha tanzania
 
Screenshot_20211219-085329-648.jpg
 
Sgr imesimama kabisa hakuna chochote anacho sema chenye kutekelezwa huyu mama ni hasara ya miaka 5 tutakayo pitia ,ukweli ni kwamba wanawake hawafai kupewa uongozi nchini
Umeenda site lini mkuu? Mbona tunaopita kila siku kwenye mradi kazi zinaendelea.Msitutie aibu kumbe mnaandika tu hamfikagi maeneo husika.Kwa upande wa Dar es Salaam eneo kililokua linasumbua ni eneo la Daraja kutoka Station hadi kwa mnyamani Daraja limeisha wanamalizia Reli na by January wanaweza kua wamemaliza.Tatizo letu tulipenda mbwembwe badala ya accuracy.
 
Mafisadi ya kikwete yanatengeneza hati feki za wakandarasi wa michongo hiyo ndiyo sababu
mnaishi kwa kukariri.Barabara yetu ya Zege Njombe-Ludewa JPM alicha imejengwa almost 25km leo zimebaki labda km 5 kati ya hamsini na kazi kubwa ya imefanyika toka july hadi hii Disemba.Haya kigongo busisi mkandarasi kaambiwa juzi na Mbarawa aongeze nguvu kazi na aongeze speed.Huyu wa BRT aliambiwa arudie km 4 alizofanya uhuni.Nyie mnataka kipi mjue kazi zinafanyika.Saidieni kuripoti uozo badalaya kuota mchana
 
Mmmmh mkuu hapa naomba nipingane na wewe.

SGR ujenzi unaendelea tu vizuri, nilipita Dodoma juzi ujenzi unaendelea vizuri tu na mkandarasi yupo site.

Embu basi tujaribu kupinga na kukosoa kwa kutumia facts.
Nimegundua Kuna watu tunaandika humu na hatujawaji kuona miradi.Juzi juzi nilikua kilosa nimeona waturuki wapo kule wanapambana vilivyo na like ndio eneo korofi Sana kwa mvua
 
Nimegundua Kuna watu tunaandika humu na hatujawaji kuona miradi.Juzi juzi nilikua kilosa nimeona waturuki wapo kule wanapambana vilivyo na like ndio eneo korofi Sana kwa mvua

Wengine wanajua ukweli kabisa miradi inaendelea vizuri na iliyosimama kama Airport ya Mwanza sababu za kasoro ni genuine kabisa ila basi tu ndio hivyo hawajakubali kuwa tuna Rais na Serikali nyingine. Tukitaka tujikumbushe miradi mingapi ilisimama JPM alipoingia madarakani na mingine mpaka leo iko vile vile na mingine ilisuasua mpaka kukamilika. Mfano rahisi ni Terminal 3 kabla ya kuamua kutoa hela baadae, Dege Village….umekufa kabisa, Bagamoyo Port nayo ikapigwa zengwe, Kurasini Logistics Center ulisahulika kabisa mpaka juzi hapa umezinduliwa tena na mingine mingi tu. Tujifunze kufuatilia details na tuwe wakweli, kama kuna kasoro genuine yes tuseme na sio emotions tu.
 
Nimegundua Kuna watu tunaandika humu na hatujawaji kuona miradi.Juzi juzi nilikua kilosa nimeona waturuki wapo kule wanapambana vilivyo na like ndio eneo korofi Sana kwa mvua
Jamaa ana chuki zake binafsi kwa SSH.

Maana juzi nimepita Dodoma nimeona ujenzi wa matuta ya kutandika mataluma inaendelea kwa kasi nguzo za kupitisha nyaya za umeme kwa ajili ya reli zimeanza kuwekwa baadhi ya sehemu pia ujenzi station unakaribia kuisha.

Nikipita tena Dodoma nitapiga picha.
 
Kenya, a country with zero natural resources, and double your GDP.
Nyinyi bila hizo minerals mngekuwa kama Somalia tu.

And before you jump on your tired 'GDP ya makaratasi', Kenyans are paid a lot more than Tanzanians.
Kenyan doctors are paid 3 times Tanzanian doctors.
Kenyan teachers, policemen, army, civil servants, private sector workers. etc.. At least double Tanzanians.

I've been to TZ several times and lived a life of luxury without breaking bank.
MTanzania akija Kenya the best he can do is kuwa omba omba ama kuishi maisha ovyo.

99.99% of Tanzanians cannot even afford a weekend vacation in Kenya or in any other country outside bongolala.
well put my brother, acha ukweli nayo usemwe. op waTz wataelewa hichi kingereza
 
you've not recovered from the shock of how Kisumu walloped your dear arusha......unarusharusha tu feelings kama rushwa View attachment 2049410View attachment 2049411View attachment 2049412View attachment 2049413
Maskin huna cha kuonyesha zaidi ya hizo calvat na NMT 😂😂😂.. na sio kama Arusha hakuna NMT, lahasha mimi ndio sina picha.. lakini japo kwa uchache leo nimekutaftieni. Naona umempost mpaka soko 😂😂😂
cc89cec764678ae0c3b5ba1cc82fd5bd.jpg
Arusha_Clock_Tower.jpg
day-tour-arusha.jpg
maxresdefault(50).jpg
Screenshot_20211216-194323_1.jpg
2998829_IMG_6057.jpg
inahitaji ujitoe ufahamu sana ili kusema Kisumu ni zaidi ya ARUSHA 😂😂😂 heb ona 👇hapa sio hata CBD
3038285_E8vvsMGWQAQVjDx.jpeg
3038284_E8s3INlXoAgtmwk.jpeg
bonus👇
ArushaCoffeeLodge---Leafy-Gardens.jpg
 
BRT phase 3 tangu mwaka jana mwezi Nov walitangaza Tender, mpaka leo mwaka mmoja baadae ht kumtangaza tu mkandarasi alieshinda tender imekua tatzo.
Enzi zile ulikua unawaona mawaziri wakipishana kuangalia status za miradi which helped to push miradi, now days wapo kimyaa utadhani sio wao waliokua na mwendazake awamu iliyopita.
SRG kipande cha Mwanza Isaka sijawahi kupata updates zake, kinafanyika kweli?
Jana Waziri wa Ujenzi alikuwa anakagua Isaka mwanza ..anasema iko frsh na kawaambia waandishi wa habari wawe wanapita frequently kutoa updates kwa wananchi

SGR inaenda frsh tu hamna shida

Shida Mradi wa BRT phase 3 toka enzi za magu hajavuta sijui nn kilikuwa slow..

Na kuna mradi wa Msimbazi Park ambao goverment walikataa kutoa fidia kwa wananchi nao ukawa umesimama
 
Back
Top Bottom