Simba 254
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 2,679
- 1,766
Nikama ushatumia mnaziHahahaha, wacheni kujidanganya, wakenya kazi yenu ni Domo kubwa, Kiswahili kilizaliwa Tanganyika, kikalelewa na kukulia Zanzibar, kikaenda Kenya kikaanza kuugua. Wacheni kupoteza muda Kiswahili ni lugha ya Tanzania. Ukijaribu kuuliza nani aliyetoa hizo taarifa za Mijikenda na Taita, lazima atakua ni mkenya, kwanini asitaje kabila hata Moja la Somalia, Tanzania au Mozambique?
![]()


baby

pervers