Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu

images - 2021-12-19T221347.136.jpeg
images - 2021-12-19T221330.483.jpeg
images - 2021-12-19T221555.765.jpeg
images - 2021-12-19T221203.540.jpeg
images - 2021-12-19T221144.148.jpeg
 
As usual, no evidence just plain and stupid words. If you come to Kenya and hear kigiriama language you will mistake to kiswahili. So there's nowhere the researcher will mention Mozambique tribe just to appease them. Kiswahili is a Kenyan language with arabic loan words. Lamu town is the oldest Swahili civilizationView attachment 2050139
Hahahaha, Kigiriama hakifanani kabisa na Kiswahili, kidogo kiduruma na kidogo kwa mbali Sana ndio vinafanana na Kiswahili, lakini ukija huku Tanzania, Unguja na Pemba hawana lugha zao za asili zaidi ya Kiswahili, kwa upande wa Tanzania bara, wasegeju, wadoe, wakwere na wazaramo, lugha zao 40% ni Kiswahili. Kiswahili ni lugha ya Tanzania, wachana na hao wakenya wanaoandika ktk Wikipedia, dunia nzima inajua Kiswahili ni lugha ya Tanzania.
 
Kwakweli Nyerere alikuwa binadamu wa ajabu sana, eti anakomboa nchi zingine alafu achukui hata jiwe moja, wallahi mm nisingeweza, kwakweli kama nitamkuta Nyerere motoni cku moja basi watu wote tutaenda motoni.
Aliwarudisha mateka kutoka Libya bila masharti . Mzee alikua muungwana sana. Kwa hasara ya Vita hata angedemand mafuta kutoka Kwa libya awape mateka wao
 
Back
Top Bottom