joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mungu ndiye aliyeifanya Tanzania na watu wake kuwa Special.[emoji23][emoji23][emoji23], hawa watu wanajifanyanga special sana na vile hao mahomo wamejazana kwao mpaka their top celebs
1)33% ya soft water bodies duniani ipo Tanzania(Nyasa, Tanganyika and Victoria lakes)
2)Ardhi yetu imejaa kila aina ya madini
3)52% ya ardhi yetu, sawa na ukubwa wa nchi ya Kenya, ni mbuga za wanyama
4)Zaidi ya hectars 14M zinafaa kwa kilimo.
5)Gas asili ikiwemo gas adimu ya Helium ipo Tanzania
6)Amani na upendo hatubaguani
7)chakula kwa wingi