babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Kumbe ni jengo tu ndo limemis kwenye hiyo picha na sio eneo!Kumbe ni jengo moja tu ndio limemis kwenye picha.?
![]()
Kukiwa na maana eneo lililojengwa jengo lipo.



Kumbe ni jengo tu ndo limemis kwenye hiyo picha na sio eneo!Kumbe ni jengo moja tu ndio limemis kwenye picha.?
![]()



Kwa picha unatuonyesha prism tower, ebu tuonyeshe kwa hio map iko wapi? Nairobi unajua ni ya google tu. Punguza aibu.mwisho wa siku utarudi hapa hii ndio density kwa standard za kenya?? serious🤣🤣🤣 aloo munasafari ndefu sana
View attachment 2041086
View attachment 2041089View attachment 2041090
Nakwambia hivi mkuu sisi Watz kwenye suala la picha za kuitangaza nchi bado sn, media na bloggers wengi bado hawajaamka, tumeiachia serikali na wazalendo wachache ila amini kwamba mkuu huu uzi na Jamii Forums kwa ujumla umeamsha watu wengi na ss tegemea mambo mengi mapya nchi hii.Upanga ni kubwa sana hata mara tatu kushinda hiyo uperhil.. Kwanini nasie tusipige picha mpya nyingi ili kukomesha hizi kelele zao .? Mana hiyo mitaa sasahiv kuna gorofa nyingi mpya zinazojengwa na zilizokamilka ..
Hii picha imefanya kina kinuthia wapoteane.



Pamechakaa kweli kweli au ndivyo kulivyo mkuu.Eastleigh huwezilinganisha na kijitonyama yenye vijighorofa viwili vitatu kando ya barabara
View attachment 2040811View attachment 2040812View attachment 2040813View attachment 2040814View attachment 2040815View attachment 2040816View attachment 2040818
For daresalaam you don't have to go high up
Huyo Dar inamsumbua sn, hajawahi kuijua na hatokaa aijue cz ni much know sn, juzi kaweka picha ya Buguruni aki claim ni Ilala kisa aliingia Google akaona Buguruni IlalaMbona unataja kijitonyama tena umechanganyikiwa.?







Kimara yao nikama Posta yetu. 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hawaamini wanachoonaHii picha imefanya kina kinuthia wapoteane.![]()
Alot of area wapi? Mbuga auAtleast unaona what planning looks like, na kuna alot of areas bado haiko hapo





Tushai save mkuu, huwa wanapiga vipicha vya upande upande kujifanya wapo vzr, eti wanataka kushindana na Dar interms of development wkt ka Nairobi kenyewe ni ka tiny hata mkononi hakajaiHii picha mwenyekiti ichoboy uitunze sana hii inajibu kila swali huko mbele.









C umeona wamekimbiaKwenye pakua pekua zangu ndio niliiona iyo, ni silaha ya kueanyamazisha![]()







full uswazi city......coming generations zitakuwa na kazi kupanga huu mji wa darFor daresalaam you don't have to go high upView attachment 2041221View attachment 2041224
Asante sana, ss tuangalie wapi kupo developed kati miji hii miwili




Mbn uliwapiga na nondo kichwaniHiyo ni sehemu ndogo sana kwa Dar hata iyo Kariakoo yenyewe haonekani yote, hapo kuna mji wa karibu kabisa Upanga na hakuonekani pia, hapo umeonyesha eneo dogo mno, hakuna picha mona ambayo inaweza onyesha Dar yote, ila kwa Nairobi kwasababu ni kamji kadogo inawezekanaView attachment 2040894high ways, stadiums, airports, railway station, Flyovers, CBDs, Rich neighborhoods, slums na kila kitu in one photo
unabisha.?









Ila Wakunya wapo juu sana, imagine hiki kichaka ndio hulambwa shots zote zile 😂😂😂😂Asante sana, ss tuangalie wapi kupo developed kati miji hii miwiliView attachment 2041231View attachment 2041232
Nenda ukalie twitter usitulilie sisi hapa, hatuna muda mchafu wa kubembeleza kima.Niletee GTC kwa hii picha pekee tu
Wewe huijui Dar kaa kmy, hebu niletee Kijitonyama nichekeHakuna cha maumivu hapo. Picha za juu za kijitonyama zimesambazwa huku kwa Miaka tatu sasa so we all know how it looks like. Maghorofa kando ya barabara






