Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Lakini mnashindwa kulipa deni.
Lakini mnashindwa kulipa deni.
Their biggest malls are owned by Chinese Botswana people and managed by Kenyans😂😂Kimara yao nikama Posta yetu. 😂😂😂
Dar ni ngumu sana hata upate malls kwa neighborhood.
Wacha nikuongezee, upingeWewe huijui Dar kaa kmy, hebu niletee Kijitonyama nicheke![]()
Huyu jamaa jembe sana, nitasikitika akikosa kuwa president wa hii nchi, kuna mengi anaweza kutufanyia ila ss cheo chake kina mipaka. Namuona JPM kwenye sura yake.
Kwanza umekubali hii ni Nairobi? Hivyo vighorofa viwili vitatu unavyovitaja vipo humu fanya ku zoom au nenda kalie kwa mama NginaOnyesha Prism Tower in that your picture.
Onyesha Parliament Tower
Onyesha CBK Tower
Onyesha Hazina Tower.
Onyesha Upper hill Chambers
Onyesha KCB Tower
Onyesha UoN Tower
Onyesha Britam Tower
Onyesha UAP Tower.









Actually you are very desperate. As Tanzanians post Nairobi picture of 1990's, Kenyans are posting current and updated pictures like this one.
Deni gani tumeshindwa kulipa?Lakini mnashindwa kulipa deni.
Badala ya kuniambia nizoom ungezoom wewe mwenyewe hili uniprove wrong. Yani mnatumia picha za kitambo that even probing your point becomes difficult for you😂😂😂.Kwanza umekubali hii ni Nairobi? Hivyo vighorofa viwili vitatu unavyovitaja vipo humu fanya ku zoom au nenda kalie kwa mama NginaView attachment 2041241
Jiulize mbona ATCL haiendi South Africa alafu ujijibu. Hapo tayari utapata the answer of what you are asking me.Deni gani tumeshindwa kulipa?
Kwahiyo kelele zote zile ndiyo mlijenga









Hujiulizi mbona tunakuja Nairobi among other places? Unaongea nonsense.Jiulize mbona ATCL haiendi South Africa alafu ujijibu. Hapo tayari utapata the answer of what you are asking me.
Unaongea hapa na mko kibanda in the name of museumKwahiyo kelele zote zile ndiyo mlijenga![]()
Mkulima bado anahunt ndege yenyu south africa, hamuwezi kanyagaHujiulizi mbona tunakuja Nairobi among other places? Unaongea nonsense.
Nairobi hamna deni ndio maana mnakuja, places where you are unable to pay your debts hamuendi😂😂😂Hujiulizi mbona tunakuja Nairobi among other places? Unaongea nonsense.
Hawa watu hawalipi deni, nowonder they usually try very hard to be given grants and donations😂Mkulima bado anahunt ndege yenyu south africa, hamuwezi kanyaga
Wameona waje na Id mpyaHii picha imefanya kina kinuthia wapoteane.![]()





have you lost something of yours?