chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,309
- 45,108
Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba, ila mkopo watalipa watanganyika 🚮🚮🚮🚮Unajichosha ubongo wako bure kwa kuhangaika na mambo yaliyo nje ya uwezo wa akili yako..
Wewe tulia ugange njaa afu usubiri kuona maendeleo on the grounds.
Hatukurupuki kama Serikali iliyopita,tunasaka concessional loans na grants.
Soma hapa jinsi ambavyo tunalenga kutoa mikopo ya riba ndogo kwa wananchi afu ujishangae kwa kukurupuka👇👇
View attachment 2040751
View attachment 2040752

au AFCON au mashindano yoyote mengine ya mpira
