The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Watanzania tuko vizuri
Ati we are bitter for maendeleo ya Tz? Wapi maendeleo hapa?View attachment 2040830
Sasa kama ishu ni kufanya summary ☝️ NAIROBI hiyo hapo, then what the meaning of this battle.? Mbona mpo bitter sana na maendeleo ya Tz.? Kitu hampendi ni fair comparison .. sijui huwa mnaogopaga nini
Ishu si ni summary tu, kunaonekana wapi kuna maendeleo hapa 👇
View attachment 2040830
Sasa kama ishu ni kufanya summary ☝️ NAIROBI hiyo hapo, then what the meaning of this battle.? Mbona mpo bitter sana na maendeleo ya Tz.? Kitu hampendi ni fair comparison .. sijui huwa mnaogopaga nini
Hapo is more developed than anywhere else in East Africa.Ishu si ni summary tu, kunaonekana wapi kuna maendeleo hapa 👇View attachment 2040840
Huwezi kukutana na picha moja ikaonyesha Dar yote never Ila photos of the tinny town of yours 👇
😂😂😂 It's funnyHapo is more developed than anywhere else in East Africa.
Atleast unaona what planning looks like, na kuna alot of areas bado haiko hapoHuwezi kukutana na picha moja ikaonyesha Dar yote never Ila photos of the tinny town of yours 👇View attachment 2040847utaninyesha nini nje ya hapa ☝️ 😂😂 mbuga za wanyama au .. we endelea kutafuta unplanned settlements zikufariji
Nje ya hapo hakuna kitu mzee, we endelea kutafuta unplanned settlements za DSM upost humu ujifarijiAtleast unaona what planning looks like, na kuna alot of areas bado haiko hapo
Duh, Aisee hii picha nimeitafuta sana, hii niliona wakenya wenyewe kule SSC waliiponda sana, sasa hii ndio inaitwa kitu live bila chenga 😀View attachment 2040830
Sasa kama ishu ni kufanya summary ☝️ NAIROBI hiyo hapo, then what the meaning of this battle.? Mbona mpo bitter sana na maendeleo ya Tz.? Kitu hampendi ni fair comparison .. sijui huwa mnaogopaga nini
Hii picha mwenyekiti ichoboy uitunze sana hii inajibu kila swali huko mbele.Huwezi kukutana na picha moja ikaonyesha Dar yote never Ila photos of the tinny town of yours 👇View attachment 2040847utaninyesha nini nje ya hapa ☝️ 😂😂 mbuga za wanyama au .. we endelea kutafuta unplanned settlements zikufariji
Kwenye pakua pekua zangu ndio niliiona iyo, ni silaha ya kueanyamazisha 😂😂Duh, Aisee hii picha nimeitafuta sana, hii niliona wakenya wenyewe kule SSC waliiponda sana, sasa hii ndio inaitwa kitu live bila chenga 😀
Bwana ichoboy01 fanya utunze hii picha 👇Hii picha mwenyekiti ichoboy uitunze sana hii inajibu kila swali huko mbele.
The higher you go the smaller it becomesDuh, Aisee hii picha nimeitafuta sana, hii niliona wakenya wenyewe kule SSC waliiponda sana, sasa hii ndio inaitwa kitu live bila chenga 😀
Hiyo ni sehemu ndogo sana kwa Dar hata iyo Kariakoo yenyewe haonekani yote, hapo kuna mji wa karibu kabisa Upanga na hakuonekani pia, hapo umeonyesha eneo dogo mno, hakuna picha mona ambayo inaweza onyesha Dar yote, ila kwa Nairobi kwasababu ni kamji kadogo inawezekana 👇
Tarehe 4 ya December 2021, Juzi TU hapaHii ni lini mkuu.?
Unyama ni mwingi sanaTarehe 4 ya December 2021, Juzi TU hapa
Niletee GTC kwa hii picha pekee tuHiyo ni sehemu ndogo sana kwa Dar hata iyo Kariakoo yenyewe haonekani yote, hapo kuna mji wa karibu kabisa Upanga na hakuonekani pia, hapo umeonyesha eneo dogo mno, hakuna picha mona ambayo inaweza onyesha Dar yote, ila kwa Nairobi kwasababu ni kamji kadogo inawezekana 👇View attachment 2040894high ways, stadiums, airports, railway station, Flyovers, CBDs, Rich neighborhoods, slums na kila kitu in one photo 😂😂 unabisha.?
Sasa kijiko nyama ina maendeleo gani kwa mfano? Maendeleo ya vijighorofa kando ya barabara na uswazi pembezoni?View attachment 2040830
Sasa kama ishu ni kufanya summary ☝️ NAIROBI hiyo hapo, then what the meaning of this battle.? Mbona mpo bitter sana na maendeleo ya Tz.? Kitu hampendi ni fair comparison .. sijui huwa mnaogopaga nini
Mzee labda mababu WA kwenu. Sehemu nyingine hata mnyama wa kufungwa aki practice huo mchezo anauliwaUlitaka aendelee “kupakuliwa” Kwa Siri?
He’s very brave. He definitely has bigger balls than many of y’all on here. Nina uhakika kuna wapenzi wa jinsia moja wengi tu Tanzania. Mpaka wengine wamefunga ndoa na jinsia tofauti ili “kuishi maisha ya kawaida” lakini wanafahamu vizuri tu kuwa wana hisia za kimapenzi Kwa watu wenye jinsia kama zao.
Lakini Sio kwamba wanafurahi kuishi maisha wanayoishi; kuna expectations za jamii, dini, na Sheria za nchi, ambazo zinasimama kinyume na mahusiano ya jinsia moja. Watu wengi wakiona habari kama hii wanasema Kuwa ni “utamaduni wa wazungu” lakini cha kushangaza wanatumia Ukristo, ambao ni dini iliyoletwa na wazungu kujenga hoja pingamizi. Wengine wanasema kuwa hata wanyama hawajihusishi na mapenzi ya jinsia moja, lakini hata Twiga, ambaye ni mnyama wa taifa la Tanzania, hujihusisha na homosexuality. In fact, asilimia ya Twiga wanaojihusha na sexual activity za jinsia moja ni kubwa kuliko asilimia ya twiga wanaojihushisha na opposite sex!
Kuna government official wa Kenya alinukuliwa akisema kuwa Simba dume wanaojihusisha na tendo la ndoa la jinsia moja wanafundishwa na watalii. And this is the funniest thing I have ever heard!
I think homosexuality is natural. Na hata Afrika Mashariki kabla haijavamiwa na waarabu na wazungu, mapenzi ya jinsia moja yalikuwa ni tamaduni ya kawaida kwenye jamii mbalimbali/ Makabila. Lakini tatizo ni kuwa Afrika ina identity crisis! Tunaishi maisha yetu leo kwasababu ya cultural influences za nje. Ni influences za watu walioamini kuwa tamaduni zao ni bora kuliko zetu hivyo waka-convert watu kuwa Christians/ Muslims. Kwa hiyo leo Mwafrika akiona habari za wapenzi wa jinsia moja anakasirika utadhani yeye Ndio victim. Lakini kumbe Babu na Bibi zake huko nyuma kwao ilikuwa ni norm.
Obviously hii topic ni taboo. Watu hawataki hata kuizungumzia lakini ni vyema kuchunguza vitu Kwa undani kuliko kuoshi na kisirani Kwa watu hata wasiokujua. Sio dini zenu zinasema muwapende majirani zenu kama nafsi zenu? Hamuoni kuwa chuki juu ya jirani yako ni kosa?