Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Morogoro station

BF481A5F-38D2-4672-9166-7CCB26E41C6F.jpeg


C427CE1A-CE5B-4C68-8277-C2500EF1039B.jpeg
 
Hakuna cha maumivu hapo. Picha za juu za kijitonyama zimesambazwa huku kwa Miaka tatu sasa so we all know how it looks like. Maghorofa kando ya barabara
Kwasababu maeneo si huwa hayajengwi.. 😂😂 ngoja nikupe hotoria fupi ya makumbusho, kwanza ni eneo lilijengwa ndani ya miaka mitano tu, na kulikua na barabara ya njia moja tu, magufuli ikaiongeza barabara kutoka njia moja hadi njia nne 2017, baadae juzi tu elfu 2019 ukaanza ujenzi wa kuipanua zaidi pamoja na kuongeza mitaro, na Ili kuruhusu kujenga BRT lanes katikati ya barabara👇
1.jpg
ni kweli hii mitaa mingi ilikua haina lami, lakini as I'm talking right now hakuna chochoro hata moja ya hapo makumbusho ambayo haina lami .. kwasasa ni pazur mno 👇
3010435_IMG_2847.jpg
shida ya nyinyi hamtakagi fair comparison, mnalazimisha hata yasiyo kuwepo, kwa mfano, hii barabara ya bagamoyo road kuna upande ni mitaa yenye makazi mazuri, na kuna upande kuna mitaa Iko ni uswazi tho hayo maeneo mengi ni biashara ndogo ndogo zinafanywa sana hapo 👇hata kuna kituo cha mabasi hapo n.k
Screenshot_20211119-230032_1.jpg
shida iliyopo ni kwamba kila hamtaki kuelewa kila kukicha mnarudsha discussion hiyo hiyo moja .. naakati kila kitu kimeshaelezwa humu, mnachokifanya nyinyi ni kurudisha picha zilezile zilizopigw tangu hiyo miaka mitatu iliyopita unavyozungumzia, and that's why nawaona ni matahira tu au waoga
 
Kwasababu maeneo si huwa hayajengwi.. [emoji23][emoji23] ngoja nikupe hotoria fupi ya makumbusho, kwanza ni eneo lilijengwa ndani ya miaka mitano tu, na kulikua na barabara ya njia moja tu, magufuli ikaiongeza barabara kutoka njia moja hadi njia nne 2017, baadae juzi tu elfu 2019 ukaanza ujenzi wa kuipanua zaidi pamoja na kuongeza mitaro, na Ili kuruhusu kujenga BRT lanes katikati ya barabara[emoji116]View attachment 2040960ni kweli hii mitaa mingi ilikua haina lami, lakini as I'm talking right now hakuna chochoro hata moja ya hapo makumbusho ambayo haina lami .. kwasasa ni pazur mno [emoji116]View attachment 2040962shida ya nyinyi hamtakagi fair comparison, mnalazimisha hata yasiyo kuwepo, kwa mfano, hii barabara ya bagamoyo road kuna upande ni mitaa yenye makazi mazuri, na kuna upande kuna mitaa Iko ni uswazi tho hayo maeneo mengi ni biashara ndogo ndogo zinafanywa sana hapo [emoji116]hata kuna kituo cha mabasi hapo n.kView attachment 2040967shida iliyopo ni kwamba kila hamtaki kuelewa kila kukicha mnarudsha discussion hiyo hiyo moja .. naakati kila kitu kimeshaelezwa humu, mnachokifanya nyinyi ni kurudisha picha zilezile zilizopigw tangu hiyo miaka mitatu iliyopita unavyozungumzia, and that's why nawaona ni matahira tu au waoga
Na mimi mwenye nimekuwekea picha ya hii mwaka bado unapinga au, na hile pale si ni PPF tower ?
 
Hilo jengo halipo kijitonyama sasa na hata ukipiga picha kutokea kijitonyama hilo jengo hakuonekani kwa umbali huo 😂😂😂 we dar huijui piga kimya.. utachekwa.. ngoja nikuonyeshe ukipiga picha kutokea kijitonyama mpaka hapo inakaa aje 👇View attachment 2040656
Mwmbie lipo Sam Nujomba karibu na Mlimani City,Law school of Tanzania,University of Dar es Salaam na lina karibiana na Mawasiliano tower ni mbali kabisa na kijitonyama.Hapo bado jengo lefu la Dawasa
 
Back
Top Bottom