Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Kwanza, I am not gay. But I’m an outspoken ally! Pili, simlazimishi mtu yoyote kuwa shoga. Ila nasema ukweli usiopenda kusikia. Tatu, Hakuna “uhuru” wala usalama Kwa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja nchi hii. Kwako ni rahisi kuongea upuuzi na ku-dismiss hoja za wengine lakini kama wewe ungekuwa victim, kama jamii ingeamua umpende nani na usimpende nani, then usingefungua domo lako chafu na kuongea ushenzi.Kama uchoko ni sifa au ujanja, wewe si ugawe tako lako kimya-kimya.
Kwani ni lazima wote tuwe kama wewe? Tanzania machoko wapo kabla hujazaliwa, na wako huru ndio maana wametamalaki Facebook na Instagram na wapo kote kwenye matamasha ya Taarabu, hivyo wako huru.
Feel free to be who you think or believe you are.





