Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanashingilia adopting industrialization lakini nyinyi bado mmebaki kwa agrarian revolution. Mnalima, tunanunua toka kwenu, we process and then resell the final product back to you.
Haya maneno huwa yananichekesha sana 😂😂😂, kwamba sisi tunalima nyie mna nunua halaf mnaprocess then mnauza.. 😂😂😂 Heb taja bidhaa moja ambayo mnazalisha kupitia Mali ghafi za Tz..
 
Do you even have a museum in that satanic kingdom of Tanzania?
8s=1152.jpg
9s=1152.jpg

Kama nynyi ndio mnajenga leo haimaanishi watu wengine hawana . Arusha museum
 
Lazy ni lazy. Building a museum while diying from hunger is an indication of mental retadation. Mtu atavunyika kiuno hapo kutokana na ulazy na scraped military equipments
The last time I checked Tanzanians were more malnutrition than any country in EAC bar SS.
 
Back
Top Bottom