Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

u

tavor x95 imefungwa grenade launcher 45mm kama sjakosea
n silaha ya kiisrael nzuri kwa mapigano ya karibu thats why special forces wanazitumia (navy commando ao waliovaa black)

Check Lugumi Enterprises, Atakua ana supply hii mizgi ya Israel.
 
The Old wine.., CBD
1639144723625.png

1639144744319.png

1639144775978.png
 
Tanzania is the biggest Exporter to Uganda, Burundi, Kenya and Rwanda, how is Tanzania closed country?, Wakenya mpo na shida Sana, kwasababu tunakwaruzana na Kenya hiyo tu ndio unasema Tanzania is not open country?, Unakumbuka sababu alizosema Magufuli kwanini alikataa "lockdown" kipindi cha Corona?, Ili asihathiri biashara na nchi jirani zinazoitegemea Tanzania, huko ndio kuifunga nchi?
Hata wakisaini agreements 100 as long Kunyaland is beaten watalalamika!
 
Ambae hana chopa anakodi kwa mwenzie na ambaye hana CHAKULA ananunua kwa mwenzie nani anashangaza???
Watu wanashingilia adopting industrialization lakini nyinyi bado mmebaki kwa agrarian revolution. Mnalima, tunanunua toka kwenu, we process and then resell the final product back to you.
 
Back
Top Bottom