Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,709
Hii picha
ndio hii imekuwa summarized hapa
Linear development as always
Hii picha
We jamaa ni mjinga, huijui Tz kaa kmy, eti Buguruni ndiyo IlalaOf course Ilala iko na density kuliko Upper Hill as you can see below View attachment 2040336View attachment 2040338View attachment 2040340
View attachment 2040337








So hiyo number plate Ni ya Kenya?unakataa kabisaa😂😂😂😂
Dream houses hizo 😂 😂Nyuma ya hizo buildings kunakaa hivi sana sanaView attachment 2040422
Change angle ya picha tuone ghorofa kando ya barabara.😂😂😂😂
Ndio manake hawapendi aerial viewHii picha
View attachment 2040424
ndio hii imekuwa summarized hapa
View attachment 2040425
Linear development as always


The last 10 years The country has really changed for The betterWhile some people are still stuck with linear development of places like kijiko ya nyama and are actually celebrating it, look at Parklands below
View attachment 2040431View attachment 2040434
Aerial view na mtanzania ni kama maji na mafutaNdio manake hawapendi aerial view![]()
And the future looks promising tooThe last 10 years The country has really changed for The better
Mzee yani kw hilo nimekukubali sana, hdo picha mbili zinaonyesha vile hawa majamaa wapo hovyo sanaAerial view na mtanzania ni kama maji na mafuta
Parky ni noma wachana na hizo ghorofa zao za kando ya barabara. Dar ni Posta + Kariakoo tu. Au ushawai skia wamepost kigamboni hapa apart from ile estate ya mchinku. 😁😂While some people are still stuck with linear development of places like kijiko ya nyama and are actually celebrating it, look at Parklands below
View attachment 2040431View attachment 2040434
nyie washamba kabisa haya tuanze Bharesa anayo private moja,Polisi wanazao,jeshi wanazo zaidi sana.sasa unasema nani kakupa hiyo idadiIt`s very shameful that a country like Tanzania only has five helicopters, no wonder your President was using Kenya helicopters for campaigning.
While some people are still stuck with linear development of places like kijiko ya nyama and are actually celebrating it, look at Parklands below
View attachment 2040431View attachment 2040434











The equivalent of Kilimani in Dar is slum 😂 😂 😂
View attachment 2040430
Ichogal haamini macho yake, atakimbilia wapi sasa mbishi kweli kweli hahahaha
Wew jamaa kila ilivyo itakua unaliwa tako wewe au uko na uwezo mdogo sana wa akili.. hauwezekani mtu timamu atetee huu upuuzi. Ushoga ni jambo ambalo halifai, halikubaliki na ni laana, ipo historia kwenye vitabu vya dini inayoeleza ni kwa namna gani Mungu anachukizwa na vitendo hivyo, rejea vitabu vya dini kijana..Ulitaka aendelee “kupakuliwa” Kwa Siri?
He’s very brave. He definitely has bigger balls than many of y’all on here. Nina uhakika kuna wapenzi wa jinsia moja wengi tu Tanzania. Mpaka wengine wamefunga ndoa na jinsia tofauti ili “kuishi maisha ya kawaida” lakini wanafahamu vizuri tu kuwa wana hisia za kimapenzi Kwa watu wenye jinsia kama zao.
Lakini Sio kwamba wanafurahi kuishi maisha wanayoishi; kuna expectations za jamii, dini, na Sheria za nchi, ambazo zinasimama kinyume na mahusiano ya jinsia moja. Watu wengi wakiona habari kama hii wanasema Kuwa ni “utamaduni wa wazungu” lakini cha kushangaza wanatumia Ukristo, ambao ni dini iliyoletwa na wazungu kujenga hoja pingamizi. Wengine wanasema kuwa hata wanyama hawajihusishi na mapenzi ya jinsia moja, lakini hata Twiga, ambaye ni mnyama wa taifa la Tanzania, hujihusisha na homosexuality. In fact, asilimia ya Twiga wanaojihusha na sexual activity za jinsia moja ni kubwa kuliko asilimia ya twiga wanaojihushisha na opposite sex!
Kuna government official wa Kenya alinukuliwa akisema kuwa Simba dume wanaojihusisha na tendo la ndoa la jinsia moja wanafundishwa na watalii. And this is the funniest thing I have ever heard!
I think homosexuality is natural. Na hata Afrika Mashariki kabla haijavamiwa na waarabu na wazungu, mapenzi ya jinsia moja yalikuwa ni tamaduni ya kawaida kwenye jamii mbalimbali/ Makabila. Lakini tatizo ni kuwa Afrika ina identity crisis! Tunaishi maisha yetu leo kwasababu ya cultural influences za nje. Ni influences za watu walioamini kuwa tamaduni zao ni bora kuliko zetu hivyo waka-convert watu kuwa Christians/ Muslims. Kwa hiyo leo Mwafrika akiona habari za wapenzi wa jinsia moja anakasirika utadhani yeye Ndio victim. Lakini kumbe Babu na Bibi zake huko nyuma kwao ilikuwa ni norm.
Obviously hii topic ni taboo. Watu hawataki hata kuizungumzia lakini ni vyema kuchunguza vitu Kwa undani kuliko kuoshi na kisirani Kwa watu hata wasiokujua. Sio dini zenu zinasema muwapende majirani zenu kama nafsi zenu? Hamuoni kuwa chuki juu ya jirani yako ni kosa?
Wewe nimekudharauUpuuzi ni wewe kumchukia mtu hata asiyekufahamu. Amekukosea Nini? Amekuumiza?