NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,632
Naombeni tujaribu kuwaelew hawa watu mana kwao v8 ni utajir ..mesahau tuvyo post v8 za polisi wavyo kuwa hawamini macho yao[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Angalia Msafara wa Kiongozi wao halafu angalia na huku kwetu ujionee Tofauti. Huko kwao hadi Noah zipo kwenye Msafara wa kiongozi mkubwa.[emoji1787]