Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
So unataka kusema hiyo picha haijashika majengo ya Kijitonyama au point yako ni nini?kijitonyama unaona nn hapo??😅😅😅
So unataka kusema hiyo picha haijashika majengo ya Kijitonyama au point yako ni nini?kijitonyama unaona nn hapo??😅😅😅
That restaurant at the topmost floor of OneAfrica Place. So classy
Wanangoja wajengewe museum kama donation.I had to Google this. So true 😂 😂 😂
u
tavor x95 imefungwa grenade launcher 45mm kama sjakosea
n silaha ya kiisrael nzuri kwa mapigano ya karibu thats why special forces wanazitumia (navy commando ao waliovaa black)
kosa langu mm nini kusema ukweli au??😂😂So unataka kusema hiyo picha haijashika majengo ya Kijitonyama au point yako ni nini?
Nilitaka tu nikuondoe ujinga and I think I have. A picture can capture things that are far zionekane zimekaribiana, depending on the angle of the picture and the professionalism of the photographer.so ulitaka nisiseme kama upper hill imo ndani yani kosa langu kusema ukweli tu🤣🤣🤣🤣
Ukweli upi?kosa langu mm nini kusema ukweli au??😂😂
Ghorofa za kando ya Barabara. Dar ni posta tu.😂😂😂Hata maghufuli alisema na Baba Levo akarudia.kijitonyama unaona nn hapo??😅😅😅
ujinga kwamba ukisema ukweli 🤣🤣🤣 yani kusema ukweli ndio kumeniponza ulitaka nisiseme + upperhill au??Nilitaka tu nikuondoe ujinga and I think I have. A picture can capture things that are far zionekane zimekaribiana, depending on the angle of the picture and the professionalism of the photographer.
Hii ujinga yako ya Kuchora circles kwa mipiccha just because sehemu mbili tofauti zimekuwa captured in a single shot ni ujinga unafaa kuwacha. Mbona sasa hutoi povu kuhusu hiyo picha ya posta na kijitonyama in shot? Ama sasa umesahau kuchora circles?
magufuli alisemaje hebu tukumbushe ??🤣🤣🤣🤣🤣Ghorofa za kando ya Barabara. Dar ni posta tu.😂😂😂Hata maghufuli alisema na Baba Levo akarudia.
+ upper hill 🤣🤣🤣🤣Ukweli upi?
Usisahau kuchora circles kwa hii pia. Sawa Kijana wa Tandale?ujinga kwamba ukisema ukweli 🤣🤣🤣 yani kusema ukweli ndio kumeniponza ulitaka nisiseme + upperhill au??
picha iko wazi upper hill inaonekana vzr kabisa
View attachment 2039887
Hio sio kazi yangu bana.magufuli alisemaje hebu tukumbushe ??🤣🤣🤣🤣🤣
Ghorofa za kando ya barabara 😂😂😂😂😂Things they are busy comparing with places like Kilimani.
View attachment 2039891
Hii si ni kukosea Kilimani heshima jaman!?
Mumechokaee sasaYani huyo ni hajui kitu, halaf anajidanganya Eti na yeye ni mjuaji..


