Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_3315.jpg

IMG_3316.jpg
 
hebu zijaribu alaf uone kama utakaa hapa hio upperhill haiwezi ilala kwa density itakua kijitonyama😂😂😂😂😂
👆👆👆
Kijitonyama moja hahaha laughable
Here is one of his earlier comments in 2018 when he was seriously comparing Kijitonyama to upper hill.
 
👆👆👆

Here is one of his earlier comments in 2018 when he was seriously comparing Kijitonyama to upper hill.
He even tried to compare Upper Hill with Ilala in that stupid comment. This is why sometimes I just choose to ignore him. Very irrational!
 
anajitangaza kua anapakulia live bila chenga ww kwako ni sawa 😃😃😃
Ulitaka aendelee “kupakuliwa” Kwa Siri?

He’s very brave. He definitely has bigger balls than many of y’all on here. Nina uhakika kuna wapenzi wa jinsia moja wengi tu Tanzania. Mpaka wengine wamefunga ndoa na jinsia tofauti ili “kuishi maisha ya kawaida” lakini wanafahamu vizuri tu kuwa wana hisia za kimapenzi Kwa watu wenye jinsia kama zao.

Lakini Sio kwamba wanafurahi kuishi maisha wanayoishi; kuna expectations za jamii, dini, na Sheria za nchi, ambazo zinasimama kinyume na mahusiano ya jinsia moja. Watu wengi wakiona habari kama hii wanasema Kuwa ni “utamaduni wa wazungu” lakini cha kushangaza wanatumia Ukristo, ambao ni dini iliyoletwa na wazungu kujenga hoja pingamizi. Wengine wanasema kuwa hata wanyama hawajihusishi na mapenzi ya jinsia moja, lakini hata Twiga, ambaye ni mnyama wa taifa la Tanzania, hujihusisha na homosexuality. In fact, asilimia ya Twiga wanaojihusha na sexual activity za jinsia moja ni kubwa kuliko asilimia ya twiga wanaojihushisha na opposite sex!

Kuna government official wa Kenya alinukuliwa akisema kuwa Simba dume wanaojihusisha na tendo la ndoa la jinsia moja wanafundishwa na watalii. And this is the funniest thing I have ever heard!

I think homosexuality is natural. Na hata Afrika Mashariki kabla haijavamiwa na waarabu na wazungu, mapenzi ya jinsia moja yalikuwa ni tamaduni ya kawaida kwenye jamii mbalimbali/ Makabila. Lakini tatizo ni kuwa Afrika ina identity crisis! Tunaishi maisha yetu leo kwasababu ya cultural influences za nje. Ni influences za watu walioamini kuwa tamaduni zao ni bora kuliko zetu hivyo waka-convert watu kuwa Christians/ Muslims. Kwa hiyo leo Mwafrika akiona habari za wapenzi wa jinsia moja anakasirika utadhani yeye Ndio victim. Lakini kumbe Babu na Bibi zake huko nyuma kwao ilikuwa ni norm.

Obviously hii topic ni taboo. Watu hawataki hata kuizungumzia lakini ni vyema kuchunguza vitu Kwa undani kuliko kuoshi na kisirani Kwa watu hata wasiokujua. Sio dini zenu zinasema muwapende majirani zenu kama nafsi zenu? Hamuoni kuwa chuki juu ya jirani yako ni kosa?
 
👆👆👆

Here is one of his earlier comments in 2018 when he was seriously comparing Kijitonyama to upper hill.
He even tried to compare Upper Hill with Ilala in that stupid comment. This is why sometimes I just choose to ignore him. Very irrational!
niliwah kusema na ninarudia ilala ina density kubwa kuliko upper hill 🤣🤣🤣🤣🤣
 
He even tried to compare Upper Hill with Ilala in that stupid comment. This is why sometimes I just choose to ignore him. Very irrational!
upper hill gani kwa density gani hvi upper hill ina density kweli??🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom