Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

He even tried to compare Upper Hill with Ilala in that stupid comment. This is why sometimes I just choose to ignore him. Very irrational!
labda density ya misitu na miti 😂😂😂
CB963BE9-8BF0-4913-AD35-B26A82CA910D.jpeg
 
Mimi nangoja kuona the 8 agreements wataput to pen and paper, hopefully it favors both sides, lakini huyu mama watu watamchukia for opening up the country, but watamwelewa siku moja
Nyinyi ndio mtamchukia, kwani Magufuli c mlimchukia baada ya kutanguliza maslahi ya taifa mbele, nyie watu ni wapumbavu sn, eti mnamchukia mtu kisa katanguliza maslahi ya taifa lake mbele, huyu mama mnajifanya kumkubali kinafki mkidhani mtapata fursa lkn wapi mtamchukia pia soon mana biashara baina ya Tz na Kenya ni ya upande mmoja kwa ss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ww kwako ni sawa tu yani ndio dunia ilipofika leo hata ww unashabikia huu upuuzi?

Ili swala la ushoga ni ugonjwaa wa akili, mwache ayaskie tuu kwa wenzake aombe yasimkute, we imagine una mtoto mmojaa tuu wa kiume alafu Ndio aje kuwa shoga unashindwa Mali zako atarithi nani yani ni hasara juu ya hasara
 
Kweli kuna watu wanaamini kuwa ushoga ni ugonjwa wa akili? Si huwa mnasema pia ni demonic possession?

Anyhow, najua hii ni ignorance tu. Kutana na Tim Cook, Chief Executive Officer (CEO) wa Apple Inc. (a Fortune 500 company). He’s gay na Ni billionaire, Sio billionaire wa TZS, billionaire wa USD! And he has NO children.

73D2BA96-C187-4E7C-8ADC-C55416EECAF1.jpeg

Mtoto wako akiwa shoga haimaanishi uwezo wake wa akili umepungua au yeye ni zezeta au ana matatizo ya uzazi. Unachoogopa ni kuwa hutakuwa na wajukuu wa damu wa kurithi mali zako na kuendeleza jina lako. Swali ni kuwa, kama Mtoto wako wa kiume akaoa msichana na bahati mbaya mtoto wako ana fertility issues hivyo hawezi kumbebesha mimba mkewe, utamyima mali za urithi?

Na Kama kuna watu wenye fortune ya matrilioni na hawana watoto, wewe na vijishilingi vyako vya urithi unamtisha nani? Urithi wako akirithi mtoto wako, atashindwa kuendeleza ulipoishia? Au unadhani pesa na assets zako utaenda nazo kaburini?
 
Kweli kuna watu wanaamini kuwa ushoga ni ugonjwa wa akili? Si huwa mnasema pia ni demonic possession?

Anyhow, najua hii ni ignorance tu. Kutana na Tim Cook, Chief Executive Officer (CEO) wa Apple Inc. (a Fortune 500 company). He’s gay na Ni billionaire, Sio billionaire wa TZS, billionaire wa USD! And he has NO children.

View attachment 2040146

Mtoto wako akiwa shoga haimaanishi uwezo wake wa akili umepungua au yeye ni zezeta. Unachoogopa ni kuwa hutakuwa na wajukuu wa damu wa kurithi mali zako. Lakini kwenye nchi za wenzetu Mbona kuna gay couples wenye watoto wao wa damu Kwa kutumia IVF?

Na Kama kuna watu wenye fortune ya matrilioni na hawana watoto, wewe na vijishilingi vyako vya urithi unamtisha nani? Urithi wako akirithi mtoto wako, atashindwa kuendeleza ulipoishia? Au unadhani pesa na assets zako utaenda nazo kaburini?

Kama uchoko ni sifa au ujanja, wewe si ugawe tako lako kimya-kimya.

Kwani ni lazima wote tuwe kama wewe? Tanzania machoko wapo kabla hujazaliwa, na wako huru ndio maana wametamalaki Facebook na Instagram na wapo kote kwenye matamasha ya Taarabu, hivyo wako huru.

Feel free to be who you think or believe you are.
 
Back
Top Bottom