Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee tena unajiskia
Watuuuu, kujeni muskie hku msomi nambari moja kutoka tanzania...

Hivi nikuulize kw tanzania ni RHD au LHD
Ubishi sio kitu kizuri. GARI, soma tena GARI za UK ni RHD, GARI za USA ni LHD. Nimekaa na kuendesha gari UK zaidi ya miaka 10. UK na Tz/Ke tunaendesha upande Sawa, USA wako tofauti na UK,Tz,Ke
 
bro naona umemvua chupi tayari na shanga tumeziona komora096 naww unataka kua demu wa diamond au???🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwenye kujua hizo silaha??

Navy wetu wana mashine kali kama Special forces za Belgium.

Na hawa wenye kofia nyekundu wana vipisi vifupi mno!
20211210_134711.jpg
 
u
Mwenye kujua hizo silaha??

Navy wetu wana mashine kali kama Special forces za Belgium.

Na hawa wenye kofia nyekundu wana vipisi vifupi mno!
View attachment 2039337
tavor x95 imefungwa grenade launcher 45mm kama sjakosea
n silaha ya kiisrael nzuri kwa mapigano ya karibu thats why special forces wanazitumia (navy commando ao waliovaa black)
 
Ubishi sio kitu kizuri. GARI, soma tena GARI za UK ni RHD, GARI za USA ni LHD. Nimekaa na kuendesha gari UK zaidi ya miaka 10. UK na Tz/Ke tunaendesha upande Sawa, USA wako tofauti na UK,Tz,Ke
Elimu ya tanzania ni kituko walai, yani mpka unajipiga kifua km umeendesha gari UK lkn hata vitu simple hujui mjomba...

Km kitu hujui si useme ufundishwe tu jamani
 
Back
Top Bottom