Tz helicopter ni mingi tu, huo ulikua ni uamuzi wa CCM kukodi chopa kutoka kenyaThaat`s aKenyan plane, Tanzania hamna helicopters.
lc 300 na lc 200 ni design mbili tofaut kabisa 🤣🤣🤣🤣 budaa hii mada sio size yako ipotezeeKwani unadhani hiyo body design ilikua when? before itumike kwa L300?., inaitwa biashara, na wana target nchi fukara kama akina Tanzania, after launching the real L300, pia hizo body design wanatumia ku facelift zile za kitambo ili wauze, business strategy.., nyambaff.., Kenya tumenunua zero mileage L300, toka jikoni, next order zitafika next year from the factory, headquarters ya Toyota iko Kenya, nyie mnauziwa mitumba na dealers!., meza wembe dogo 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Here is another Kenyan plane your government hired for campaigns.Kwahyo hii ni ndege ya jeshi lenu.? 😂😂😂 We ni tahira wa wapi wew.?
Na bado unajiona mzima mr mipesa?...sasa ccm na serikali ya Tz wapi na wapi
kama nyinyi mumepata august basi ujue kuna nchi zimewatangulia kupata ikiwemo tanzania na hili piga garagaza utaaibika bure magari ya kifakhari tanzania ndio nyumbani kwake kwa huu ukanda wa east and central africa mark my words 😂😂😂😂😂tuende pole pole, baada ya premier, which countries were the first to order? Najua South Africa Toyota ilikua supplied in August,
Kenya zimekua kabla ya launch na Toyota Kenya, niko kwa fb group ya magari, tuliziona mapema kidogo kwa streets, ata na za plate ya south sudan SSD, wewe unabweka humu tu., same na Landrover Kenya., gari zilifika kabla ya Landrover Kenya ku launch., wacha nikufunze, unaeza kununua kwa dealers, ama kwa Toyota wenyewe., am sure imefika Toyota Tanzania hii November ama December, lakini kuna matajiri walinunua direct from international dealers kabla ifike Tz rasmi, nadhani unanielewa., fanya hivi, check with Toyota Tanzania kisha rudi unielezee, get their number kwa website yao kisha uwapigie simu uulize nikama unataka kununua, ask them when they received, ama kama zimeisha when is the next delivery, uje unia hadithie., mimi sio mwehu kaka.,
Hii haikukodishwa na serikali, ilikodisgwa na CCM .. CCM ni chama tu cha siasa sio serikali, serikali ya tz inamiliki chopa nyingi pamoja na ndege nyingi
umeanza kulia sasa haya chukua link sasa🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 nyie ndio matahira zaidi, unaweka screen shot kimandazi na hauwelewi chochote mle ndani , unafikiria waki reveal sasa iko sokoni kwa kila mtu yeyote? mishamba😂 😂 😂 😂 😂
Matahira nyie.., ahsante kwa kunifunza kiswahili, sasa nimejua maana ya tahira., mitanzania vilaza wasio na uwezo wa kuelewa chochote
Unapost tu 👇 👇 👇 bila kuelewa 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2038425
![]()
Toyota LandCruiser 300 orders are open, but wait times aren't clear
COVID and semiconductors have hobbled LandCruiser production, meaning Aussies who order one might be in the dark on delivery timing for a bitwww.carexpert.com.au
Toyota LandCruiser 300 orders are open, but wait times aren't clear
PUBLISHED
Australia.
October 1, 2021, 2:00 PM
Toyota will continue to take pre-orders for the supply-restricted new LandCruiser 300 Series but says it can’t give buyers any timeframe on when they’ll take delivery just yet.
The company is battling against range-wide supply issues due to semiconductor shortages and COVID-led factory shutdowns, as detailed in depth here.
Three-quarters of its models are subject to average wait times of up to six months, though these figures have a deal of variance depending on which franchise dealer you talk to.
The brand-new LandCruiser 300 is among the most keenly-affected by this dramatic situation, as one of the market’s most anticipated new cars among buyers desperate for a big post-lockdown regional getaway.
Toyota officially launches the new LandCruiser to media this month, and has pledged to send 500 units to its nationwide dealer network as demonstrators, designed to give punters a crack behind the wheel before they sign up.
While the company expects right-hand drive production to get back underway in Japan from November, and have some fresh stock on the ground by Christmas, big demand will see almost certainly see wait lists build up.
https://images.carexpert.com.au/res...toyota-landcruiser-300-series-sahara-zx-1.jpg
While the company expects right-hand drive production to get back underway in Japan from November, and have some fresh stock on the ground by Christmas, big demand will see almost certainly see wait lists build up.
“Given this is an evolving situation and to support our guests and dealers, we will not be confirming orders [delivery times] until they can be matched to a specific production month,” Toyota Australia vice-president Sean Hanley said this week.
“… We will continue to work closely with our global production team to secure as many vehicles as possible for Australia.
https://images.carexpert.com.au/res...8/2022-toyota-landcruiser-300-series-HERO.jpg
View attachment 2038454
All your celebrities and politicians are using Kenyan Helicopters.Tz helicopter ni mingi tu, huo ulikua ni uamuzi wa CCM kukodi chopa kutoka kenya
china na tanzania urafiki wao ni wadamu nenda usome history 😂😂😂😂Kumbe Ni wivu tu mnao China wakijenga Kenya.... Mbona wakiwa marafiki wenyu mnafurahi najua kisiri mnataka wajenge Tanzania pia![]()
Serikali ya Tanzania ni CCM 100%Na bado unajiona mzima mr mipesa?...sasa ccm na serikali ya Tz wapi na wapi
mumeona kisumu jameniiii😂😂😂😂
Serikali ya Tanzania ina choppers tano pekee.Hii haikukodishwa na serikali, ilikodisgwa na CCM .. CCM ni chama tu cha siasa sio serikali, serikali ya tz inamiliki chopa nyingi pamoja na ndege nyingi
Hizi ni chopa za GoK .? Nini mbaya tukikodisha chopa za private.? Mbona unataka kubadili mada mzee.?
Chopa ni za Kenya. Yani Tanzania hamna choppers hadi inalazimisha the ruling party to hire helicopters from neighbouring country?Hizi ni chopa za GoK .? Nini mbaya tukikodisha chopa za private.? Mbona unataka kubadili mada mzee.?
ww ndio ulinunua au ??😂😂 hebu tutajie kila moja na bei yakeSerikali ya Tanzania ina choppers tano pekee.
Halafu kuna wapuuzi humuhumu wanajipiga kifua eti Tz ni nchi ya City moja.. 😂😂 swali la kujiuliza kama hii Kisumu ni City, Arusha iwe nini.?mumeona kisumu jameniiii😂😂😂😂