Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Ulitaka wabebe mitungi ya changaa ? 😃Wengine wanakimbia na logs kwa mgongo
Ile ujinga iko hii nchi !!!
Ulitaka wabebe mitungi ya changaa ? 😃Wengine wanakimbia na logs kwa mgongo
Ile ujinga iko hii nchi !!!
😁😁😁Acha nikae kimyaWewe ni taahira
VItu vingine kama hujui uliza. Gari za UK ni RHD na za USA ni LHD.Hehe!!RR unaenda kununua marekani na wakati UK ndio home..pili unaenda kuchukua kitu right hand drive wakati left hand zitele na ndio toleo la uingereza..
Pole yake sana..
Km ilikua ana hela ya kununua mpya angelienda UK atolewe chombo jikoni cha left hand drive ajitolee karatasi mwenywe
Hapa tuko pamoja👍👍👍👍👍👍👍Man of big moments, Divock Origi🇰🇪🇰🇪View attachment 2038493View attachment 2038498View attachment 2038499
Heri hata wangebeba tents and other survival kits Sasa kukimbia Na Miti uwanjani hehe mchezo was kitotoUlitaka wabebe mitungi ya changaa ?![]()
Slavery attitude
Tent na gogo kipi ni kizito zaidi kwa ujazo uleule?, kwahiyo huko Gym wakinyanyua vyuma vizito unadhani ni wajinga?, Kenya hamna aliliHeri hata wangebeba tents and other survival kits Sasa kukimbia Na Miti uwanjani hehe mchezo was kitoto
Iliua ndugu yetu ni kichopa cha Kenya lakini kilikua kibovu
Issue si uzito issue Ni mbona akimbie Na gogo? For what purpose? Kuonyesha ana misuli au hehe jokes Bora angekimbia Na bidhaa muhimu za survivalTent na gogo kipi ni kizito zaidi kwa ujazo uleule?, kwahiyo huko Gym wakinyanyua vyuma vizito unadhani ni wajinga?, Kenya hamna alili
Yaani kujadiliana Wakunya naonaga ni kichefuchefu, sijawahi kuona mijitu primitive kama hii, Yaani ni typical village debating, hawana exposure kabisaUmesjikia ulivyo chizi gari ni ya 2021 halaf eti unapiga kelele ni second hand,ilitumika mwaka gani.? 😂😂😂 u must be crazy.. halafu unasema kwamba watz "hawawezi nunua toyota za kenya" 😂😂 toyota za kenya.? Kwani hapo kenya kuna kiwanda cha toyota.? Au unajisahaulisha kwamba meli ya magari inatoka mojola kwa moja from Japan to Tanzania.?
Sishangai akili ndio huwa hunagaFacelift., mutumba not 2022 L300., , ata South Sudan wanazo mingi tu, nilijua nyie mazuzu kweli, huwezi tofautisha facelift na real deal, zero mileage![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()



izo set za kufanyia facelift unazitoa wapi ikiw gari yenyew ndio imezinduliwa?...apo facelift ni kuanzia mwakani ...wacha aibu ndogo ndogHizi sio karatasi? Mpaka mnatia uvivu namna mlivyo waporiporiNjoo ununue gari toyota kenya mzee km una ubavu
Achana na vitu used mzee, yani gari karatasi unajitolea mwnywe..achana na wengine eti 0kilomita alafu baada ya delivery jamaa kaingia na kuketia leather bana...
Tz kuna mafala sana
Sasa alete upuuzi wa kufunga mipaka!In a light note View attachment 2038959
Yuko vyemanandy mwenyewe ana BMW na watu wako kimya tu
Naombeni tujaribu kuwaelew hawa watu mana kwao v8 ni utajir ..mesahau tuvyo post v8 za polisi wavyo kuwa hawamini macho yaoWe kumbe ni mbumbumbu huku bongo V8 ni gari ya kawaida sanaa zipo nyingi mnoo mitaani, mondi tangu amekua star mkubwa hajawahi nunua gari used mzee.. tena siku hiz ndio balaa kwasababu ana ujeuri wa kununua mpaka cheni za almasi kwa 150k US dollar, ndio ashindwe kununua V8 mpya.. .?![]()



